JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
TANGAZO TANGAZO... WASUKUMA WOTE KESHO MNAOMBWA MFIKE KIJIJI CHA MAKUMBUSHO KUANZIA ASUBUHI SAA 3. KUTAKUWA NA MAANDAMANO KUTOKA HAPO KUELEKEA IKULU KWA MHESHIMIWA RAIS. DHUMUNI LA MAANDAMANO NI...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Aiseee, miaka inasonga na hii JF imetufanya tumekuwa kama walevi vile. Yaani kufumba na kufumbua tayari nimegonga 6 years nikiwa member wa JF. Kwa kweli wakuu nimekuwa siyo mchoyo kwa mambo mengi...
2 Reactions
10 Replies
730 Views
Mi binafsi nakumbuka siku nilikula fimbo nzuuuuuuuuri kabisa huku naangalia pilipili zipo kwenye kisahan tayar kwa kuja kunisulubu, Jaman balaa lote hilo kisa JENI, alaf jeni mwenyewe hata...
1 Reactions
4 Replies
850 Views
1 Reactions
14 Replies
3K Views
MUME: "Mke wangu nasikia John katembea na wake za watu wooote hapa mtaani kasoro mmoja tu!" MKE: "Mmmh! basi huyo aliebaki atakuwa MAMA MBILINGE KISIKI, maana yule mama ndo ANAJIFANYAGA MGUMU...
1 Reactions
3 Replies
896 Views
Leo nilikuwa naangalia uzi fulan uliowataka wadada wachague mwanaume mwenye mvuto hapo nikaona ID zinahusika maana wenye ID mbaya wote tumerukwa futi mia    sasa leo natoa pendekezo la kila...
3 Reactions
44 Replies
9K Views
Kwa wale tuliopitia jeshi, mnakumbuka maafande walivyotupa za mwaka, anaweza uliza wewe mbona huli wenzako wanakula, unamjibu afande sina appetite, si uazime appetite kwa wenzako, wengine wana...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna marafik zangu mashabik wa simba wamekuja home kunisalimia leo, viti ndani vipo ila nimewakaribisha kwenye mkeka kwa usalama zaid... maana hawa jamaa ni matope kabisa
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Nachukia ugaidi sana kutokana na makundi kama haya kuua watu: AL_SHABAB AL_QUEDA Hata kwenye Mathematics kuna kikundi cha kigaidi AL_GEBRA na ndo sababu ya mimi Kuchukia Hesabu SIPENDAGI UJINGA MIMI
3 Reactions
5 Replies
2K Views
MARA YA KWANZA KULALA UCHI hii ni stori yupi umuhusuyo *linda* binti wa kigogo mmoja mjini Arusha Akiwa katika huzun na majonz baada ya kumaliza fom6 na kupata zero katika mtihan wake wa...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Nilipokuwa shule ya msingi, kuanzia darasa la 4 hadi la 7 maksi zangu za hesabu kwenye mitihani zilikuwa zinacheza kwenye 03%- 08%. Matokeo yalikuwa yanatangazwa mbele ya darasa! Yanapotangazwa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimetafakari Sana Kuwa Kwa Jinsi Watanzania Tulivyo Busy Na HARAKATI Za KIMAISHA Iwe Kwa WANAUME Na WANAWAKE Hali Inayopelekea Wengi Wenu ( Mimi Simo ) Kukosa Muda Kabisa Hata Wa Kunyoa NYWELE...
3 Reactions
75 Replies
16K Views
[emoji121] Wakuu, Kwa mara ya kwanza kabisa natarajia kuingia jijini daasalama mwaka huu. Nimekata tiketi ya basi matataaa la "Maning nice classic coach" ambalo lina flat tv ndani. Na siti yangu...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Wana MMU hope mko poa! Shida yangu kubwa ni kila nikianzisha mahusiano na mchepuko nakamatwa na wife, simalizi hata wiki.. Mpaka nimekuwa nijihisi mwenye gundu...naombeni msaada...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Pale mdada anapokutana na wajanja wenzie inakuwaga hivi!!!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waafrika wengi na hasa Wabongo wa kiume tunapenda wanawake wenye makalio makubwa yaani vibonge. Ulaya mwenye soko mwembamba. kwanini kuna tofauti hizi?
5 Reactions
24 Replies
18K Views
katika kupitia profile ya jf.nimeona sehemu ya followers na idadi yake sasa Mimi nahitaji kuongeza followers lakini pia na Mimi ni follow wengine.. kwa wale wanaohitaji tuwe follows tafadhari...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Tushishangae siku tukastuka viti vinangolewa na kutupwa toka angani. Ni ushauri tu. Chukueni tahadhari kabla ya hatari.
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Nakutana na lafudhi za majirani zetu! Zimetawala mpaka vijiwe vya kahawa! Nimekaa hapa kijiweni sielewi kama hawa wanamaanisha kua wapo au hawapo! Inamaana jamaa zetu wamelala namna hii mpaka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…