Mtanzamo tu
Unakutana na kidemu ndani ya miezi miwili kanataka kaje waona wazazi wako. Dada, mi mwenyewe nlikaa miezi 9 tumboni kabla sijawaona wazazi wangu mwenyewe, usiniletee mapenzi ya...
Mfano wewe ni mwanamume Umepanga safari yako ukaenda umefika sasa kesho yake unawasha simu yako asubuhi unakutana na meseji yake inasema kuanzia leo usinijue nisikujue na sihitaji tena kuona...
Pale unapokuwa umefulia sana alafu mgeni anakutembelea maskani yako. Unaamuaa kuchukua ile sh. 600 iliyobaki na kwenda kumnunuliaa soda, unaondoka na chupa mbili unanunua fanta moja kwa ajili ya...
za mida waungwana. samahani hivi nini lengo la kuwashwa muziki/ luninga ndani ya mabasi au bar/ hotel/ grocery? vitu hivyo vinawashwa kwa ajili ya wahudumu au wateja. mara nyingi utakuta...
Mdada alienda super-market kununua
kuku, bahati mbaya kwenye frij
kulikuwa na kuku mmoja tu, muuzaji
akamtoa akamuweka kwenye
mzani, akaonekana ana kilo moja na robo.
Mdada akamuuliza...
Ukiona Msichana anaongea hivi au kila siku anajifanya
kukushtakia ''Baby kuna mkaka ofisini ananisumbua
kweli sijui kapata wapi namba yangu analeta zawadi
mara anataka kunitoa lunch...Ananiudhi...
Siku moja dereva wa baba mtakatifu walitoka kwenda kufanya shoping!!
Walipofika njiani papa akamwambia dereva!! Lete niendeshe mimi!!yaani Papa ndo aendeshe mwenyewe!!
Walipofika mbele kidogo...
*_Treni ya mwakyembe [emoji588] ilivyoanza kazi tulipanda bure siku za mwanzo Daraja [emoji616]nalo tulipita bure sijasahau mwendo kasi nao tulipanda bure sijui hii ndege mpya tutapewa ofa? Kama...
Habari zenu !
mim mwenzenu sipendi kumuona mwanaume anatafuna bublish[emoji19][emoji19]yaan nikimuona nasikia kutapika
Bas hapa niko kwenye foleni kaja mkaka anaonekana smart lakin anatafuna...
[emoji121]
WAKUU,
HIVI HIZI TEKNIKI HAWA NDUGU ZETU WANAWAKE WANAZITOA WAPI??
------------------
JANA NIME_CHILL NAPIGA STORI NA WANA KIJIWENI,
HUKU TUKIJIFAJIRI DHIDI YA HIZI CHANGAMOTO ZA...
Wakuu inakuwaje dem unapania kumfungukia kabla hujamwanbia siku anakupa apoitment ya kukutembelea geto afu unamlenga siku unayojua utakuwepo mwenyewe geto/hom mara anafanya kweli anakuja kashine...
[emoji121]
WAKUU,
BILA SHAKA HIKI KIPENGELE CHA HALI NGUMU YA MAISHA KINAFAHAMIKA VEMA NCHINI KOTE!
SASA
HUKU KITAA KUNA MTOTO MZURI NI NOMA SANAAAAAAA!!!
MTOTO MWEUPEEEEEEE,
ANA SURA...
Salamu kwenu wana jamii pande hizi .... Picha ilo hapo chini yaonyesha kazi ya "house girl" ..... Swali ....
Je ni kosa lake (housegirl) kutokufahamu afanye nini ......
Ama ni kosa la bosi...
Kaa ukijua zaidi ya watu 2580723500 duniani ni wavivu,na wewe ni mmoja kati yao kwa sababu hujajisumbua hata kusoma hiyo idadi ya wavivu wenzako....UONGO?
Ukiona Uhusiano uliopo hauendi vile unavyotamani
uende waza upya, ukiona kila siku ni wewe tu
unayeumia na kuumizwa, na anayekuumiza hajali
japo ni mwepesi wa kulia michozi ndoo nzima pindi...