JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
#Kanisani Pastor amesema, "DO ONE THING TO SURPRISE GOD" Jamaa mmoja akakimbia na kikapu cha SADAKA.
3 Reactions
2 Replies
1K Views
```While in Church a lady dozed off during preaching she woke up and heard the pastor saying stand to ur feet! She stood up and saw the whole congregation in shock including her husband, she...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
"Mzee wa watu katoa kiasi cha mboga kulingana na uwezo wake, Kashangaa? Kuona anakula vitu vya bei ya juu, Kuliko gharama alizotoa" ..... haka kanyimbo alikaimba nani na kanaitwa jee?
1 Reactions
1 Replies
2K Views
habari wakulu wa hi kaya.nisiwachoshe asubui hi.ebana kuna vitabia vina niboa sana tena sana asee,tena inafanywa na mwanaume. utakuta umepanda dala dala au chombo chochote cha usafiri wa jamii...
0 Reactions
1 Replies
849 Views
Mvuta Bangi alikwenda kwa Dokta na kumwambia:- Mvuta Bangi: Mala nyingi huwa nazungumza na watu, lakini cha kushangaza watu hao huwa siwaoni, utanisaidiaje daktari?. Daktari:- Ni wakati gani huwa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nlishaanza kuandika kuelezea ukweli na uhalisia wa Jambo hili. Nikakumbuka kwanza kwenda Bank kuangalia salio. Bahati mbaya nimekuta pesa nlizo nazo hazifiki Mil 7. Ikabidi ni delete maana...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
hunipa faraja na kunipunguzia huzuni na kunifanya nisonge mbele jipe furaha usisubiri kupewa furaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi wapenzi wa MMU kama unazo na wewe zenye maneno...
1 Reactions
16 Replies
20K Views
Unakutana na kademu mmekaa kwny mahusiano miez 2 kanataka kawaone wazaz wako!! Dada mi mwnyw nilikaa miez 9 tumboni bila kuwaona wazaz wangu sikuwa na haraka kias hcho Usiniletee mapnz ya mwendo kasi
1 Reactions
4 Replies
888 Views
Mfalme mswati anapewa bure msichana bikra kila mwaka tena huku chuchu zimesimama hatari, Wewe na ndala kifuani na umetumika kama mashine ya kukaanga bisi bado unataka gari na noti noti...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Zamani nilikuwa nawashangaa Watu ambao wana Marafiki Wachache (SMALL CIRCLE), nikawa najiuliza yaani Dunia ilivyo na watu wengi hivi inawezekanaje mtu akawa na MARAFIKI 7 TU?? Lakini sasa...
20 Reactions
51 Replies
6K Views
Mwaka Jana Tarehe Kama Ya Leo Nilikuwa Nimeweka Profile langu Team Likerz Yani Nilikuwa Na Like status Ni balaa. Sasa Siku Moja Kuna Dem Mmoja Aka Ni Add Jina Namuweka Kapuni Kwanza Nikaingia...
9 Reactions
22 Replies
39K Views
'Can you come and Pick me Up?'' Hii ni sentensi yenye maana kubwa sana anapokutumia Msichana wa Kimjini-Mjini ambae ndo umeanza kumrushia punje za mchele adonoe ili aingie Kingi awe mchuchu...
35 Reactions
176 Replies
28K Views
Kuna wanawake watatu walikuwa wanagoga mtoni!ghafla mi nikapita pale na nikawaona!! Mmoja pale akafunika papuchi yake kwa mikono nisiione!! Wa pili akaacha papuchi wazi akafinika usoni kwa mikono...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
HII NI CHATING INBOX Mkaka: hi! Mdada: helow! Mkaka: Mambo!? Mdada: Poa. Mkaka: Inakuwaje Mdada: Fresh tu Mkaka: Shwari kabisa? Mdada: Shwari tu.. Mkaka: Mishe zinakwenda poa! Mdada: Poa tu...
24 Reactions
256 Replies
15K Views
DADA WA KAZI ANATAKA KUONGEZEWA MSHAHARA House girl alitaka kuongezewa mshahara, lakini mama mwenye nyumba akataka apewa sababu 3 za house girl kutaka kuongezewa mshahara: DADA: Ninaweza kupika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
MKAKA: Sweety mambo? MDADA: Poa asante MKAKA: Samahani dada, mimi ni kijana ambaye nimekuwa nikikufuatilia kwa muda sasa, na nimegundua wewe ni mtu ambaye ningependa uwe mke wangu niishi nawe...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna simu inauzwa NOKIA toleo jipya, ina redio,TV, Bluetooth, Internet cafe,AC, DVD, Opena, visheti Ufuta, uji wa mchele, kandambili,mtindi, chapati,sambusa za nyama, halfcake, dressing table choo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kila nikijipindua napigwa BAN. Yaani zinafukuliwa mpaka posti za zamani. Je inawezekana mtu akawalipa MoDs ili memba afuatiliwe na kupigwa BAN? Maana huu sasa ni utani kwa sababu huwa nakosa raha...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
"If a person (Mourinho) can't repair a tyre (Yokohama) how can he repair a car (Chevrolet)?" 3 retweets 1 like
0 Reactions
1 Replies
784 Views
Manchester United to sue Juventus for selling them a fake Chinese product
1 Reactions
0 Replies
676 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…