JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
mwanaume kuishi bila mchepuko hiyo ni sawa na taifa kuliendesha taifa bila chama pinzani [emoji23]
0 Reactions
6 Replies
2K Views
*Unatumwa dukani ukanunue mafuta ya kupikia unapewa 1,000/= afu ww unaamua kupitia sehemu unanunua andazi la sh 100 ili ukanunue mafuta ya 900/=. Ukifika wanakouza mafuta unakuta wamefunga*. Hapo...
6 Reactions
11 Replies
3K Views
Nakumbuka mtihani wa la saba unaanzaga km masikhara hivi! 19+87= 219-45= 12x34= 59÷7= .... Afu huko mbele sasa kuanzia swali la sita saba hivi, utajutaa: Ndege inatoka Dar saa tatu kwenda...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
_*Pesa noma sana*_ Jamaa alikua anaoga bafuni na mke wake, Mara wakasikia sauti ya mtu ikibisha hodi,, mke akajifuta maji harakahara na kujifunga kanga kisha kwenda kuangalia ni nani anaebisha...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna Hali ya mkanganyiko wa kutotaka kufikiri vizuri au kuchambua!! TENA wakati mwingine ni kujitoa tu akili ilihali ukweli unajulikana na huu upo dunia kote!! Haya ni MAMBO YANAYODHIHIRISHA HILO...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Je waweza kutambua kazi/sifa za mtu humu Jamii forum kwa jinsi tuu anavyoandika /kuchangia mada mfano: Mwalimu,Nurse,dokta,mwanafunzi,mhandisi,mwanasheria,mrefu,,mkoa anaoishi...nk??? Basi leo...
0 Reactions
97 Replies
5K Views
Haya maisha haya kweli ni Ups and Down, siku za nyuma elfu kumi ilikuwa inakwisha haraka sana ndani ya muda mfupi, leo hii elfu kumi ni pesa moja tamu kweli...ukata sometimes inasaidia ati wakuu?
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Mwagona Mughonile Mwaghona Mapembero Mwakata Joree Yeroo subai Shimboni Mbukweni
0 Reactions
0 Replies
685 Views
Kuna maneno na vifupisho vingi vinasumbua baadhi ya watu kujua maana zao. Kupitia thread hii, weka neno lolote linalokusumbua utasaidiwa kujua maana yake.
2 Reactions
18 Replies
10K Views
Aisee kwakweli hawa ndugu zetu warangi wameukimbia kabisa mji wao wa Kondoa na wamekuja kujazana Arusha katika eneo la Ngarenaro, Eneo hili la ngarenaro limejaa warangi na ukifika Ngarenaro leo...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Wakuu leo nilipokua narejea home nilikutana na paka mwekundu akiwa na hirizi shingoni nilistuka na kutaka kutoka nduki lakini cha ajabu paka yule alinisemesha maneno yafuatayo"jirani unatoka...
6 Reactions
29 Replies
4K Views
JAMAA ;- Boss umeniita??? BOSS ;- Nenda chooni kapige PUNYETO,na kuna CAMERA nakuona kama unapiga au unazingua... JAMAA AKAENDA DAKIKA KUMI AKARUDI... BOSS ;- nenda kapige tena JAMAA AKAENDA BAADA...
5 Reactions
2 Replies
1K Views
WANAUME NA AKILI ZA MWENDO KASI. Binti mmoja mwanafunzi wa chuo akiwa ndani ya pantoni akivuka kutoka Magogoni kuelekea upande wa Kigamboni alimuona mwanaume Handsome akiwa ndani ya gari yake...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna wadada, na akili zenu zote, unakutana na Mwanaume ameshaoa, ana mke na watoto wawili, anakwambia anakupenda, yuko tayari kumuacha mkewe akuoe wewe, na wewe ulivyo na akili za ubuyu unaona...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
NASHANGAA. Ukimwona Mtu Anaendesha Gari Zuri Unasema "1 Day YES," Lakin Ukimwona Mtu Kalala Ndani Ya Jeneza Husemi "1 Day YES". WHY So Guys???!!. Kufanikiwa Sio Lazima Ila Kufa Ni Lazima...
1 Reactions
2 Replies
499 Views
kama inavyofahamika kuwa jf ni stressfree zone...hebu tu tiririka ni comment gani ilikuvunja mbavu
1 Reactions
4 Replies
647 Views
BOSS anamwambia sekretari wake: Wiki hii tutaenda wote Serena Hotel kwenye mkutano fanya mipango yote. SEKRETARI (anamuaga mumewe): Tunaenda na bosi Serena hotel kwenye mkutano for 1 week. MUME...
0 Reactions
2 Replies
830 Views
I mistakenly sent someone TSh,100,000 through M-pesa..in fact should I say I sent Tsh.100,000 to a wrong number. After realizing this, I calmed down and sent him/her this text message: "Hello...
4 Reactions
1 Replies
959 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…