Nimeikuta sehemu kwenye Facebook, hivyo sio kauli yangu binafsi
Brenda.......... Never satisfied.
Charity....Wifematerial.
Marion.........Smart.
Joyce....Heartbreaker.
Doris....Stupid...
Mko baa mnakunywa mara ghafla mnavamiwa na majambazi na kutoa amri kua, toeni kila kitu mlo kuanacho mtupe chini, kisha uchague moja kati ya haya. Anaetaka kufa atokee mlango wa mbele, anaetaka...
*Yaan apa najaribu kuwaza peke yangu ivi zama zile zakurusha mawe juu ya bati kwakumpa taarifa demu kuwa upo nje je ingekuwa ndo zama izi cjui ingekuaje maana cku izi demu mmoja ana wanaume30 tena...
Sikh moja nipo maeneo ya mlimani city Mara kapita mtoto mrembo sinikaanza kumfuata kwanyuma ili nilushe swaga nilipomkaribia nikamgusa bega alipogeuka tu niksishiwa pozi nikajikuta nikitamka ETI...
Wakuu habari zenu
Leo natoa onyo kwa wale wanaopenda kuiga lugha za watu wakati mwengine wanatukana hawajijui
Kuna jamaa yalimkuta alizamia meli akajikuta ametua ulaya baada ya kushuka melini...
_Wageni wa zamani wakifika nyumbani kwako cha 1 wanaangalia kwenye Friji._
_Lakini wageni wa sasa raha saaana,wakifika nyumbani kwako swali la kwanza,_
_*UNA CHAJA YA SMART PHONE??*_
_Shikamoo...
hapa mtaani kwetu kuna jamaa alikuwa na tabia akifanya mapenzi na mkewe raha ikimkolea anapiga kelele mpaka majirani wanasikia. Siku moja jirani yake aitwaye Mzee Hamisi akamfuata jamaa...
USITHUBUTU
KUTAZAMA MPIRA UKIWA NA MWANAMKE NI MASWALI MASWALI YANI NI STRESS TUPU!!
#Mke: Honey timu gani zinacheza leo?
#Mume: Arsenal vs Manchester Utd```
#Mke: oooh safi sana, ninaipenda...
Mpemba akiwa anatembea ghafla upepo mkali ukadondosha kikoi huku akibaki mtupu ila cha ajabu akawa amezuia kofia kwa nguvu isipepee!
Jamaa akamuuliza mzee vipi unazuia kofia unaacha vyombo vyote...
Mimi nina miaka 18. Ni mtanzania lakini siishi nchini. Niko nje kimasomo. Naongea English fluently na Kiswahili pia. Nataka tuchat WhatsApp ni inbox number.
Habari kwenu Washirika JF
Leo emutaja mwalimu aliekuwa kiboko kwa matusi shuleni kwako.
unaeza taja wa level yeyote ile.
mimi namkumbuka mwalimu wangu wa hisabati shule ya msingi alikua anaitwa...
Nakumbuka mwaka 2001, nikiwa Morogoro, nilipata dili la matikiti Dar. Kuna mteja alihitaji matikiti 500, kila moja buku. Sasa mie nikayasaka nikapata kwa mia nne na muuzaji alikuwa na tikiti ka...
Msemo huu umekua maarufu saana wanaume wa dar kila jambo dhaifu dhaifu ukifanya huku bara unaambiwa usiwe kama wanaume wa Dar
Tatizo nini niambieni hapa wanaume wa Dar wamepungukiwa nini HASWA
Kuna tabia ndogo ndogo ambazo zinakera kwenye jamii lakini unashindwa kumuambia mtu live Kutokana na umri hadhi au aibu juu yake lakini vinakukera kila siku.
Kupitia uzi huu naomba tufikishe...