Jumamosi nilienda KCB branch moja Posta na kuchukua 4.5M. Yule teller akanipa zile bundles za buku tanotano. Sikumtilia shaka kutaka azipitishe kwenye mashine maana alionekana kama "muungwana na...
*Babu*: Mjukuu wangu ngoja nikusimulie hadithi ya mimi babu yako kwenye vita ya kagera
*Mjukuu*:Niambie babu
*Babu*:Kwenye vita ya kagera tulienda sehemu tukakamatwa wote askari na maadui...
tetemeko kagera na Baba Rwegazira
ba Koku:Asante ndugu mtangazaji kwa this very good opportunity...infact ni jambo la kusikitusha sana.It was around saa nane na nusu hivi...tukiwa tunaangalia...
Kwa wale wenye tabia ya kuchungulia wadada embu tukumbushie.
Kwa kweli niulikua napenda sana huu mchezo nakumbuka shule ya msingi tukiwa mstarini tulikua tutegesha kioo chini halaf tunaanza...
Zinedine Zidane hatimaye amezungumzia kwanini alimpiga Materazzi kichwa katika fainali ya kombe la dunia 2006. "Aliniita fala,nikampuuzia. Akamwita baba yangu gaidi,nikampuuzia. Sasa hasira...
katika maisha ya shule hasa o level kuna swala la kuandika notes
binafsi mimi kwenye notes utaniua kwasababu sipendi plus uvivu
je na wewe ikoje kwako hii na ni somo lipi hasa.
nahisi itafika kipindi hali itakua hivi
kwamba kila jambo baya litakalo fanyika ni CHADEMA
kila jambo litakalo fanyika UCHOCHEZI
hili pia wanalionea aibu kusema lakini lipo kwenye akili zao
Hello. Habarini. Nina ps3 model ya mwanzo kabisa model no. CECHA01.Nahitaji fundi ambaye anaweza kuichip ili iweze kucheza games za kudownload za ps3. Kwa mtu ambaye ni fundi wa kuchip kwa mkoa...