Jamaa mmoja alikuwa na bifu la hatari na jirani yake,basi siku moja akatokewa na Jini likamwambia,nimejisikia kukupa zawadi!Chagua kitu chochote nami nitakupa ila jirani yako nitampa mara mbili ya...
Inawezekana mwalimu wako uliyempenda sana shule ya msingi,O-level au high school yupo humu JF.
Hebu jaribu kuelezea wasifu wake,mwonekano n.k,labda unaweza kuwasiliana naye tena kama mlipotezana...
hivi ni kwanini watu wengi waliozaliwa vijijini wakijaga mjuni huwa ni wajuaji hawapendi kujionyesha kama wametokea village ni kiswahili uwa wanabadili hali inayopelekeaga vitu vingine wabug step...
Ungewasikia Wanyakyusa wakisema; Kwa kweli tunaipongeza sana serikali kwa kuichagua Mbeya kuwa sehemu ya kupatwa na tetemeko la nchi.
Tumeona juhudi zao, na tunaomba sasa,..wasiishie hapo...
Mwalimu wangu wa primary alikuwa ananambia lala hapo ananichapa matakoni,huku akisema sikuchapi wewe nachapa ujinga wako.
Bhasi akaniaminisha na mpaka leo najua ujinga upo matakoni,
Sasa...
Habari up town fellas n most of all my fellow Gentlemen
Hayawi hayawi ndio yamekua, leo ndio siku ambayo binafsi niriisubiri na kuandalia muda wa kutosha kwa kuakikisha namaliza vimeo vya...
Muda pekee ambao unaweza kumzoea DINGI ni pale unapomfundisha kutumia SMARTPHONE....
Wanakuwaga wapole sana aisee....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Long story short,baada ya kufika kwenye mlango wa hizi benki moja za kisasa nikawa natumia nguvu nyingi sana kufungua mlango,kumbe nilivyokuwa nafanya sivyo ,yaani unatakiwa ukikaribia mlango wewe...
Ayaa... Warning strictly above 18 only..!!
Kama bado a boy or a girl kaa mbali na huu uzi..
Churaaa.. churaaa huyooo churaaa.. jamaniii churaaa mamaaaaa churaa huyooo huyooo ananesanesaa...
Baada ya kufanya uchunguzi wakina na kugundua kwamba mpenzi wangu anamichepuko mingi tena ya kutisha niliamua kufanya haya:-
1-kuweka vocha simu yangu
2-kumpigia na kumpa makavu yake
3-kumtamkia...
Wazee wengi ni watata na wanakuwa manunda sana wakiwa nyumbani. Sio rahisi sana kupiga stories na dingi kila wakati.
Lakini siku hizi muda pekee ambao unaweza kuzoeana na dingi ni pale...
Wakuu,
(Huu waweza kuwa ni mwendelezo)
Katika maisha tunakuwa ndoto na malengo ya kuwa tukifikia UMRI/kipindi fulani tuwanie fani/taaluma/kazi fulani.
Ndoto hizi huwepo hasa tukiwa wadogo au...
Wasalaaam!
kwanza niombe Msamaha kwa Mola wangu "astghafirullah,astaghafirullah,astaghafirullah" mola wangu nisamehe...
Ndugu zangu Ujana umenivunjia Heshima, Jana Wakati wa Adhuhuri nilipata...