Mtu kukulazimisha kwa lugha yake ya mwili ( body language ) umlipie Nauli na ni hasa hasa kwa Mabinti na Wanawake watu wazima kabisa.
Mtu amepanda daladala halafu bahati mbaya au sijui nzuri ile...
Habari wanjamii..naombeni msaada wenu,nasumbuliwa sana na hali ya kichefuchefu hususani nikiwa ndani ya daladala na baada ya kula,nimetumia dawa mbalimbali bila mafanikio,naombeni msaada..Mimi ni...
Kuna tangazo la Nyati Cement jamaa wanajaribu kuvunja UKUTA kwa mbinu zote wanashindwa. Ninahisi "very soon" hili tangazo litafungiwa kwauchochezi[emoji832][emoji779]
Nakumbuka sana miaka hiyo akina baba waliitisha kikao na kuunda kamati ya mapokezi kwenda Kumpokea pale Uwanja wa ndege. Ndugu wote walikuja dar nyumban kwetu kulijaa sana na pia nyumban kwa...
Jamaa mmoja alimwambia mkewe,leo tukumbushie enzi za uchumba wetu,wakakubaliana wakutane gesti saa 5asbh,jamaa akawa wa kwanza kufika alikaa mpaka saa12 jioni,dem hakutokea akarudi nyumbani kwa...
Mara dogo katimba ofisini kamkuta mwalimu wa darasa.
Dogo: mwalimu mi nataka mnipandishe darasa hila la tatu halinifai.
Ticha:basi ngoja niongee na mwalimu mkuu...
_*Mfanyakazi: ```Boss leo siwezi kuja kazini kuna mvua kubwa imenyesha!, maji yamejaa kuzunguka nyumba yangu.```*_
_*Boss: ```Kwenye maombi yako ya kazi uliandika Hobbi yako ni KUOGELEA...
*Zuzu* alipewa gari aendeshe matokeo yake akaua watu 50
*Traffic*:Imekuaje ukaua watu wote hawa?
*Zuzu*:Nilikuwa spidi ghafla nikaona watu weng kushoto na mmoja kulia wewe traffic ungefanyeje...
Mama mmoja mswahili na mwanawe wa
miaka 5 walikuwa ndani ya taxi usiku
wakapitishwa mitaa ambayo kuna wanawake
wanajiuza:-
MTOTO:"Mama hao watu waliosimama kando
ya barabara wanafanya nini?"...
Mama mmoja mswahili na mwanawe wa miaka mitano walikuwa ndani ya taxi usiku. Wakapitishwa mitaa ambayo wanawake wanajiuza:
mtoto: Mama, hao watu waliosimama kando kando ya barabara wanafanya...
Yaaah! Mungu ni mwema sana.
Ni raha na burudani kuwa na rafiki mzuri kama wewe!!
Hakika Mungu siku kama ya leo miaka kadhaa iliyopita alituletea duniani kitu kilichochema na kizuri mno. Honey...
Mwana na ngaï soki lelo to lobi ngaï na we
Liteya nini na koki kopesa yo
Batela bomoyi na yo sala ngele
Moto nionso na mokili akoluka akoma na bomengo
Kasi bomengo ya solo mwana na ngaï...
Hawa WANAWAKE na hivi vipodozi vyao vya kujichubua usoni tu
Dada mmoja Leo kapanda kwenye daladala kujichubua usoni kawa mweupee alafu mikono mieusi tii. Basi kuna muda aliingiza mkono mfukoni...
Teacher: Can anybody give an
example of coincidence'?
Little Johnny: Sir, it's a coincidence
that my mother and father got married
on the same day, same time.!
HARAGE HALIKOMOLEWI
Hapa juzi kati nilisafiri kwenda jiji la Mbeya. Kwa kawaida unaposafiri kwenda mkoa tofauti na unapoishi unatamani kula chakula cha watu wa maeneo yale. Mara nyingi huwa...
BAADA YA AMINA KUHISI TUMBO LINAMUUMA
Amina:doctor tumbo linaniuma sana tangu jana
Doctor:jana ulikula nini kabla ya tumbo kuanza kuuma?
Amina:nilikula pizza,baga,chips kuku na soseji doctor...