kama huna pesa wewe ni mchaga uchwara.
kama unategemea mvua wewe ni mkulima uchwara.
kama huna begi lenye picha ya Bob Marley wewe ni msukuma uchwara.
kama unalipa kodi zote wewe ni...
''mimi nataka Mwanaume awe mtanashati, awe Na
Kazi yake ya Kueleweka, awe na Pesa, awe ana
gari,awe amesoma soma May Be Chuo hivi hapo Sawa
Vingnevyo tupa Kulee,''
Madem wa aina hii utakuta...
Habari za muda huu wana jamii forums!
Sio kwa kusudi la kuwashusha heshima wala kuwadhihaki ila ni kwa vituko vyao walivyovifanya ambavyo mpaka leo ukikumbuka unacheka au unathamini sana...
1) Wanaweka simu zao kwenye mapochi makubwa halafu ikiita anaanza kuitafuta hajui inaitia wapi!
2) Siku zote wao wanabeba mapochi makubwa (hand bag) ambalo amejaza makororo kibao ambayo hata...
TAHADHARI KWA WANAUME WA DAR MNAO HAMIA DODOMA! Tabia zenu za kibwege bwege sijui kula bata,
Misemo yenu ya kike kike cjui vepee cjui ni shidaaaaa,
Mambo yenu ya ushirikina na utapeli na wizi wa...
nimebahatika kufika stend mbeya apa bahati nzuri bus nililokata tiketi kwenye siti kaja mtoto mkali balaa yaani tumeanza stori mpaka natamani tusifike safari imekua fupi sana ila tatizo sasa njian...
Jamani, neno "Nyoko" ni tusi...tena kubwa tu, nimeshangaa mwaka 2014 limekua sifa na hadi kuimbwa kwenye nyimbo na kupigwa redioni na kwenye TVs, saivi mtu akikwambia ww ni nyoko ati anamaanisha...
Sister duu kashika mimba makusudi ,kalea mimba kwa manung'uniko ,kajifungua kwa bahati mbaya na analea mtoto kwa swagger ,mtoto anaona visivyotazamiwa kuonwa na anasikia vitu ambavyo alivyotakiwa...
*Mke na mume wamelala kimya kitandani. Kila mmoja yuko kimya.*
Mke anaanza kuwaza
kimoyo moyo;
Hivi huyu mwanaume mbona
haniongeleshi? Au anamfikiria
mwanamke mwingine? Kampata
mwanamke mwingine...
U. Ukitaka
K .Kuvunjwa
U .Uti wa mgongo
T .Tarehe moja
A .Andamana
[emoji121][emoji121][emoji121]
September 1 is coming. My brother I will be next to you in the front line.
MUME: Mke wangu naomba nikubusu
MKE: Sitaki
MUME: Ntakununulia pete ya gold
MKE: Staki
MUME: Ntakununulia gari
MKE: Sitaki....mtoto wao aliyekuwa kalala alisikia haya maneno ya mwisho
MTOTO: Baba...
Habari wana jf, tujikumbushe kidogo ni kitu gani kilikuumiza sana ulipokuwa mdogo na hadi ulipokuwa unakua uliendelea kukikumbuka na kikawa kinakuumiza, mfano mimi nikiwa na miaka 6 kuna jaamaa...
HUU NDO UMUHIMU WA ENGLISH KATIKA MAPENZI jaribu kumwita mpenzi wako "my sweet potato" atakuelewa ila mwite kwa kiswaili " kiazi wangu mbatata"hiyo itakuwa vita ya tatu ya dunia
[emoji13]...
Habari gani waungwana..?
Kumekuwa na watu ambao wakipokea taarifa mbaya huwa wana panic na wengine kupelekea hata kufa so hili ni tatizo.
Kuna kupanic kwa kawaida ila kuna wengine duh! Wana zimia...
MKAKA: Sweety mambo?
MDADA: Poa asante
MKAKA: Samahani dada, mimi ni kijana ambaye
nimekuwa nikikufuatilia kwa muda sasa, na
nimegundua wewe ni mtu ambaye ningependa uwe
mke wangu niishi nawe...