Kibaka aeleza vitu vilivyokuwa kwenye pochi ya MWL. Alivyompora, 1: majina ya wapiga kelele darasani. 2: vipeperushi vya mgomo 3:markingscheme 4: list ya madeni anayodaiwa 5: andalio la somo...
Bibi mmoja alipeleka kesi mahakani na mambo yalikuwa hivi:
Wakili:Bibi unaweza kuileza mahakama nini kilichotokea?
Bibi:Mheshimiwa Hakimu mnamo tarehe husika mida ya saa 2 usiku nikiwa nimelala...
Baba na mama
Kaka na mkewe / shemeji
walitumia simu 1 yaani msg yako yangu yake yangu, bora ata vingeendelea adi Leo
Simu ni
Nokia iliyokuja batizwa jina la jeneza baadaye 3310
Simensi...
TAARIFA KWA UMMA
Kumekuwa na taarifa ambazo si nzuri juu yangu na zimekuwa zikivuma kwenye mitandao ya kijamii eti mimi situmii pilau, kuku, mbuzi na mambo mengine yanayohusu kula. Nasema...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116]
Kuna mahali nmekuta huu ujinga,,,, *mdada ana mimba, na mwenye mimba kamkataa*
sasa anaomba ushauri...
:mad:Mabestitooooooooo
Nimewamisije mwadila bandugu natumai mko wazima sana na mnaendelea vyema na shughuli zenu
Mwenzenu BADO NATAFUTA UMAARUFU WA JF yaani ni kitambo nimezima kama treni ya...
Andika post ukianza na maneno "Sielewi kwanini....."
Mfano mimi naanza "Sielewi kwanini wanaume wenye vitambi wanapenda videmu vyembamba"
Haya wakuu, twende kazi.........
Muhindi 1 alisilimishwa na shekh akamwambia kila unapokula usisahau kupiga Bismillah la sivyo utakua unakula na shetani. Basi yule muhindi kuna kipindi alisahau kupiga Bismillah kwa miezi 2 ,basi...
Habari wana JF chit chat
kama mnavoona skukuu iyoo ishapiga hodi. Naona wazee wa maeneo nao washaanza kucheki mapochi yamekaaje...
Ebu tukumbushane maeneo mazur ya kuenjoy na activity nzuri za...
Naomba muwe wavumilivu bado kidogo Mods walale kuna habari nataka niwajuze. Kama nikiiweka sasaivi wataifuta na mtakosa fursa ya kuisoma. Bado Mods wawili tu ndio wapo macho mpaka sasa.