Uwiii baridi kaliiii jamani, atakae kuna kunitoa ajiandae tu na Amarula, shishaaa kidogo nivute uwiii nipate joto. Ila asie na usafiri anisamehe asintafute maana sitaki kutembea kwa miguu[emoji7]
Ndugu wanajamvi nimeshinda milioni saba Leo na elfu arobaini wale wazeee WA mikeka mkeka wangu niliweka ile ya 2+
Ndugu zangu nipo now tabata segeraa toroka uje ila hamna watoto ninaotaka ...
kama ulishidwa kwa JK, je kwa JPM UTAWEZA?
1: Kama ulishindwa kupiga madili kwa JK, je kwa JPM utaweza?
2: Kama ulishindwa kuongea utakavyo kwa JK, je kwa JPM utaweza?
3: Kama ulishindwa kutoka...
Habari za hapa!!!!!!
Kwa mtazamo wako tangu umejiunga JF hasa MMU ni ID gani inajua kutoa nyuzi nzuri sana zenye maadili kwa jamii hasa MMU na hazijui kuchangia nyuzi za wengine. nitaanza na #lara...
Hii imekaa njema sana....
Urafiki wa mwendo kasi
Uchumba wa mwendo kasi
Ndoa ya mwendo kasi
Talaka ya mwendo kasi
................
Mtaaani kimwendo kasi na vibegi vya mwendo kasi.
Ongeza yako...
Kwa mfano uko zako barabarani unenda home ukakutana na mtu anauza CD za xxx ukachukua nakala moja kufika nyumbani unaweka uitazame unakuta ni mahubiri.
je ? utakasilika au utashukuru Mungu
Nimenunua shamba, nataka vijana wawili wachapakazi.
Je ni makabila gani nisiwachukue ili plans zangu zisifeli?
Na je watu wa mikoa ipi watanifaa zaidi?
Kutokana na kila siku kukabiliana na visa vya watu kuumizana vibaya kwenye mapenzi, tumeamua kuanzisha utaratibu wa kutoa bima za mapenzi kwa wanaohitaji ili kuwasaidia pindi wanapokuwa wahanga...
Just thinking loud if :-
*MARRIAGE AND BRIDE PRICE ACT NO 123 OF 20...... year*
Bride Price Must not Be More than TZS 700,000/- With the following deductions:-
- Not Educated (TZS 100,000/-)
-...
Nimeamka asubuh leo nlikuwa najiandaa kwenda kazini nlipowasha simu zimeingia meseji nyingi toka kwa majiran zangu wakinionya nisitoke nje maana nyumba yangu imezingirwa. kweli nimechungulia...
Ni sehemu wanapokutanika wabaya na wema
Wachawi na watakatifu
Wapiga dili na wenye kazi za halali
Wabangaizaji na watu wa mishemishe
Vikao mbalimbali na hata makongamano yenye tija
Masela...
Picha kwa hisani ya Madame B
Patakuwa hapatoshi, maana bibie kaahidi kufunguka na kumwaga radhi.
Asiye na mwana aeleke jiwe na mwenye wivu akufe atuache tupumuwe sie
Mtoto: Eti baba mwanaume ni nani?
Baba: Mwanaume ni mtu anayeijali familia yake, anahakikisha wanapata mahitaji ya msingi na anailinda vyema
Mtoto: Nikiwa mkubwa nataka niwe mwanaume kama...
Wema Sepetu (kulia) wakati wa hafla hiyo.
Stori: Andrew Carlos, Risasi Jumamosi
DAR ES SALAAM: Video ya aibu inayomuonesha msanii maarufu wa filamu Bongo, Wema Sepetu ‘Madam’ akicheza kihasara...