JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Laifu linasonga fresh wanangu? Ukijua kuitumia JF ni raha sana! Tatizo ni pale mtu anapotaka kuchukulia everything serious, matokeo yake anajipa stress za bure tu! Je unataka kuwa peace na kila...
20 Reactions
70 Replies
5K Views
UTAFITI KWA WANAUME WA AFRIKA!.. 1. Wanaume wakatili zaidi Afrika - Waangola, Warundi na Wanubi (Sudan). Ukiwakosea ni kipigo au kifo. Kwao hakuna msamiati uitwao "MSAMAHA". 2. Wanaume wanaojali...
1 Reactions
0 Replies
614 Views
Hii tenda ya kuzima Simu wangepewa TANESCO! Shughuli ingeisha kitaaaaambo! [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Tupo kwny sherehe muda huu....Jamaa wakakutana kwny yale ma sink ya haja ndogo, na wote wamekaa sehemu moja, kumbe mmoja alikuwa na kibamia....kwa hiyo yule mwny konga akaenda kuwasimulia kwny...
3 Reactions
84 Replies
10K Views
Swala mmoja alipatwa na kiu. Akaenda kwenye bwawa moja la maji. Bwawa hilo lilikuwa na maji safi yaliyotulia. Akainama na kuanza kunywkuanza kunywa maji hayo.Swala akaiona sura yake kwenye maji...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Baada ya kugogo na kuuliza baadhi ya masheikh,mapadre,mawalii,masister na wagema ulimbo mbalimbali,haya ndio majibu walionipa kuhusu majina ya vidole vya mikono karibia asilimia 99.9% walishindwa...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
haya ni maneno ambayo siku hizi hata watu wazima huyatumia au wanayajua so inabidi kubadilisha unapokuwa unaongea mbele yao ikiwa unataka kuwaficha bila hivyo watakuelewa unazungumzia nini...
3 Reactions
52 Replies
11K Views
Habari wanajamvi? Walah napongeza jitihada mbalimbali zinazoratibiwa na Serikali kupitia Wizara ya Afya pamoja na mashirika yasio ya kiserikali katika kuhamasisha juu ya ufahamu wa HIV/AIDS. Ila...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hey, I just downloaded WhatsApp Messenger on my Android. It is a smartphone messenger which replaces SMS. This app even lets me send pictures, video and other multimedia! WhatsApp Messenger is...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni kawaida kibongo bongo au kiafrika kwa ujumla kulelewa na ndugu asiye mzazi wako. Yawezekana kutokana na uwezo mfinyu wa wazazi au kuchukuliwa kwao mapema na Muumba. Ila nilichogundua...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Nyani Ngabu Messages: 58,492 FaizaFoxy Messages: 46,313 Watu8 Messages: 45,810 BAK Messages: 44,901 mshana jr Messages: 42,770 Rutashubanyuma...
10 Reactions
58 Replies
4K Views
Kufuatia zoezi la kuzima simu feki litakalofanywa na TCRA, mamlaka ya dawa nayo imetangaza kuzima makalio feki ifikapo tarehe 16 mwezi ujao. Watu wote wenye wasiwasi juu ya uhalali wa mizigo ya...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimeshuhudia ndoa yenye kuwaunganisha watu hawa wawili maarufu kwa majigambo Tanzania, Mke akiwa Mhaya, Mme awe Mnyakyusa, yaani utafurahii kuona video ya mkandara bila kiingilio! Wanajua...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
Hivi WhatsApp mtu anatakiwa aweke status ya aina gani hasa kama ni mwenye staha? Ni mimi tu ambaye labda siendi na mwendokasi au inakuwaje? Nachungulia status ya mdada mmoja hapa inasomeka hivi...
6 Reactions
49 Replies
21K Views
Yaaani kuna watu wabishi duniani.. Kana kwamba wako watu hata akiambiwa mto huu una mamba tusivuke mtu anajiandaa na nguo zake za kuogelea anavuka.. IMAGINE Leo ifikapo saa sita usiku simu zote...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
MGANGA WA KIENYEJI KUTOKA SUMBAWANGA. 1.Nazuia Simu feki zisizimwe 2.Kurudisha Mtoto aliyefukuzwa UDOM 3.Kununua sukari kwa bei ya kawaida 4.Kuzuia usiumie kwa basi la mwendo kasi likipata ajali...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
[emoji15][emoji15]ıuıʞɐl ıʌıɥ ɐıʎuɐɟıunʞ ɐzuɐәɯı nɓuɐʎ nɯıs ɐuoqɯ nɐpɐʍ dɐɓu әɥәɹɐʇ ıu oәl uɐʍʞ
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimeongea na IT mmoja toka China, ni rafiki yangu sana. Kaniambia hata kwao simu feki zilikatazwa na wao hawakupewa miezi kama sisi, siku tatu tu! Zikazimwa. Mtambo uliotumika kuzima simu hizo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamaa kamuona boss kavaa suti(THREE PIECE) akamwambia alie jirani yake "NAZIPENDA SANA THREE PIECE"!! Mwenzio bila kujua three piece ni nini haraka akamjibu!! "ME NAPENDA ZAIDI IKIUNGWA NA NAZI""
0 Reactions
1 Replies
875 Views
Kwa wale walioguswa na msiba wa bondia wetu MOHAMED ALI watume mchango wao kwa no 0765309049.kama hujaguswa nasisitiza hakuna sababu ya kuanzisha mjadala....kutoa ni moyo
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…