JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
lugha hz dah ebu chek hii kama ifuatavyo:- Daktari : mama, umezaa JEMBE yaani.. MAMA : akazimia akizani jembe la kulimia kumbe dk. alimaanisha mtoto wa kiume
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani mtu mwenye kufahamu guest nzuri maeneo ya mwenge yenye vyumba self bei kati ya tshs 20000 mpaka 30000 atufahamishe.
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Ndo hivyo............. Kipeja kachukua .................. kaweka.............. waaah............... Msumeno kachukua ................... kaweka............... waaah............ Kasinde Kasie...
3 Reactions
71 Replies
4K Views
Yaani kuwa mfuasi wa chadema ni sawa na kuwa mfuasi wa shetani, ukiwa mfuasi wa shetani akiona unataka kumuacha anajitahidi akuue ili ufe kama mfuasi wake, na ndiyo ilivyo chadema...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamaa alikuwa anamwambia mwenzio kwa kujiamini KILA KITU BAHARINI KINALIWA!! Jamaa mwingine akamjibu. HADI MELI!![emoji568]
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa Kuwa Watz wengi tunalalamika sana ama kusengenya sana Ukikutana na Rais Magufuli Utamuuliza swali gani? au utamwambia nini cha maana kwake na kwa Taifa?
1 Reactions
88 Replies
5K Views
Kwa wote wenye simu feki Natangaza biashar baada ya kufungiw nitakuw na nunua kwaajili ya Spare kwa simu original pure mathematician
0 Reactions
0 Replies
989 Views
Unakuta jamaa anamuimbia manzi kila siku kuhusu kutaka kumuoa. Jamaa anagharamia bata zote lakini hayupo tayari kumsaidia demu ake katika shida muhimu ? Ni kijiswali tu ?
0 Reactions
46 Replies
3K Views
mtoto : baba, jana mama nilimuomba pesa ya kunyoa kaamua kuninyoa kipara baba : shukuru mwanangu ungemuomba pesa ya whitedent si ndo angekung'oa meno .%_%
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Enzi nasoma shule ya msingi ukichonga tu penseli pande zote mbili utasikia "aahhhh...hayo matusi"...au wengine wanasema "wewe hiyo tabia mbaya"....Na wengine walienda mbali zaidi na kusema...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza ni kwanini Watanzania wengi wanapo ongea Kiingereza wanarembua, wanafumba fumba macho na kupepesa nyusi, kwanini hawafanyi hivyo wakiongea Kiswahili au ni utamu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naikumbuka michezo ya: A: Kutengeneza manati na kuwinda ndege porini,kuku wanaodonoa mahindi au unga uloanikwa nk, shabaha ilikuwa Sifa muhimu kwa mmiliki wa silaha hii, walioishi kwenye ngedere...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
1. Goodluck Mlinga: TUKIRUHUSU KUKATWA KODI , MWAKANI WATATUAMBIA TUUZE MAGARI YETU Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga amepinga vikali kitendo cha wao kukatwa kodi kwenye kiinua mgongo huku...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa wewe mwenye simu feki hii inakuhusu
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Natumaini kwa sasa kila mmoja ameshajua hatma yake kuhusu TCRA katika Uzimaji Simu Feki Hii itasaidia saana kuepukana na kero mbali mbali zinazojitokeza kwa watu !!Asaaanten Tcra[emoji12] [emoji12]
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tulipokuwa Wadogo,ukienda Kucheza Mbali Na Nyumbani Kidogo Hasa Hasa Mpira Wa Miguu, Mtaa Kwa Mtaa.Ukichelewa Kurudi Nyumbani Tayari Jua Limekwishazama,hapa Kuna Ka-jua Fulani Ka Mwisho Mwisho...
1 Reactions
4 Replies
984 Views
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…