JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kiongozi wa chama cha ACT wazalendo ametoa ufafanuzi wa habari zilizotapakaa kuwa anasakwa na polisi kwa udi na uvumba na kutoa yake ya moyoni
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa anaeishi Dar atakubaliana nami, hebu hapo ulipo kama upo Dar geuka kushoto,kulia,nyuma, mbele, nipe hesabu ya wanawake waliovaa mawigi na wenye vitambi, Source mimi mwenyewe niko manzese
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Pale unapozamia kwenye Dinner Party ya Jumuiya Fulani, sasa Lengo la Jumuiya hiyo ni kupata Fedha za kutunisha Mfuko wa Jumuiya...sasa unakakaa mbele kabisa ili Muda wa Msosi usichelewe na kukuta...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
0 Reactions
10 Replies
3K Views
ASKARI WA KENYA ACHANA FREE STYLE KWA AKAPELA FULL VINA, TAMADUNI MUSIC WAMEMKUBALI SANA HUYU ASKARI, SONGA AKAWEKA HII VIDEO INSTAGRAM...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
:);):(:mad::confused::cool::p:D:D:eek::oops::rolleyes:o_O
3 Reactions
16 Replies
4K Views
Kuna shindano lilitangazwa la kumtafuta mtu mvivu kuliko wote duniani.mchakato ulifanyika mwaka mzima, wengi walienda kuhudhuria na kushiriki hilo shindano mwishowe wakapatikana watu watano kwenye...
4 Reactions
14 Replies
6K Views
kulikuwa na mkutano wa Marais ulikuwa unafanyika Huko New Work Marekain. Marais wote walikuwepo na kila rais alitoa ushuhuda namna gani dawa ya kuondoa usahaulifu imemsaidia baada ya kuwa wengi...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Siku moja mama mmoja alitoka kazini akamkuta mume wake katulia na ypu makini sana anaangalia cheti cha ndoa na mzungumzo yalikuwa kama ifuatavyo: Mke:-Habari za jioni baba... Mume:-Nzuri...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nafurahi kuwajulisheni nyote kwamba kuna vyuo kumi vimefunguliwa maeneo mbalimbali nchini, vikitoa kozi mbalimbali na kubeba majina ya watu maarufu kama ifuatavyo: Benjamin Mkapa Institute of...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wabongo tuna tabia fulani hivi ambazo sometimes huwa kero, kama vile; 1.Kuulizia bei vitu vya mwenzio, akikuta una simu ataanza umenunua sh.ngapi?, akija geto akikuta kitu atauliza..... ni...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Pale unapozamia kwenye Dinner Party ya Jumuiya Fulani, sasa Lengo la Jumuiya hiyo ni kupata Fedha za kutunisha Mfuko wa Jumuiya...sasa unakakaa mbele kabisa ili Muda wa Msosi usichelewe na kukuta...
8 Reactions
14 Replies
2K Views
MKE NA MUME WAKIANGALIA MECHI YA ARSENAL NA CHELSEA: WIFE: Baby, yule ni nani? Ni Chris Brown?? HUSBAND: Yule ni Theo Walcott WIFE: ile Yellow Card ni ya nini? HUSBAND: ile ni ya Onyo, na Red...
11 Reactions
43 Replies
7K Views
Habari zenu ndugu zangu,natumai mko poa hatimae nimerud tena.[emoji2] [emoji2]
0 Reactions
0 Replies
925 Views
Nidokezeni jamani. Nipo zangu Dodoma usiku wa leo. Kuna baridi fulani. Nikitaka kuchangamsha mwili niende wapi?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…