Jamii forum ni zaidi ya Chuo, ama, Tanzania House of Talent (THT). Ni ukweli mtupu kuwa kuna wanaopata maarifa, ujuzi, ushauri, burudani, pundee tuu waingiapo kwa huu mtandao pendwa jf. Huwa...
Wakuu wanaume wa Dar tumeshambuliwa sana humu mjengoni kufikia hatua ya kuambiwa sisi ni waoga, tuna upungufu wa nguvu, legelege na majina mengi mengi tu ambayo watoto wa wakulima wa huko mikoani...
Mpo poa masela ?
Ziro Matamaa ni mshikaji wetu anayekaa mtaa wa Uchafu, ni mtaa unaopatikana pande za mabondeni.
Jamaa ni msela mwenye mbwembwe na mikogo kibao. Huwa anakuja kupiga stori kwenye...
Ndugu zangu nimepata kuona na kusikia kwa watu wengi siku hii eti njia(Kupanda minarani na kutishia kujitupa)ya kudai stahiki zao ni kwa kupitia njia hii ya mkato ili kupata chako mapema.
Sasa...
Wakuu kuna binti mmoja hapa jirani na ninapo ishi nilitokea kuwa na mahusiano nae ,kuna siku alikuja ghetto nikamgegeda kwa bahati mbaya sikuvaa kinga(condom)nilikuwa na mzuka sana Baada ya...
Wa humu habari zenu!!!
Binafsi nazidi kushangazwa sana na hizi haki hasa kwa akina mama.
Licha ya wanaume kuitwa mabuzu kwa miaka mingi sana haijatokea hata mara moja kauli hiyo kupigwa...
Habari zenu.
Katika siku hizi za usoni karibia kila Kona utakutana na sentensi "wanaume wa Daslam" [emoji33] Jiji la daslam ambalo vijana wengi wanatamani wangezaliwa au hata kuzamia daslam...
Hulka ya kuongea kiswanglish Dar inakua kwa kasi sana,mbaya zaidi ni pale mtu anataka kubwabwaja katika suala la kitalamu zaidi.
Wadada nao ndo komesha utasikia,u know...,i was like kwamba..,yani...
Nlisoma na binti flan shule moja yasekondar.nlikuwa namzidi kidato.juzijuzi nimpata whatsap.
Tulichat sana.mwisho nlimuuliza kama kaolewa .jibu lilikuwa hapana likifuatiwa na swali lingine "je...
Kihistoria mimi ni mtoto pekee kwa mama yangu yani wa kwanza na wa mwisho ( kitinda mimba na kifunga mimba). Mama alifariki nikiwa na umri wa miaka 2 na miezi 7 hivi.Lakini mapema baada ya kuacha...
Nimechukua kikapuchangu chenye rangi .kucha za bandia na vitu vya urembo kama vibanio vya nywele nikatokomea mtaani kwenda kutafuta Wateja
Niumbali wa km 1 toka napoishi hadi mtaa niliofikia...
Nishory ndefu in short
Wakuu heshima kwenu,
Nina umri wa miaka 23 kwa kweli kuna mambo yananichanganya sana mpaka najiona sina bahati ya binti wa kujenga nae maisha,nilikuwa na mchumba ambae...
Mr and mrs Daudi walishafariki kitambo sana daaaa nasikitika sana,Neema kipenzi ameshaolewa na Musa kawa jambazi sugu.jamani ni kitambo sana enzi zetu zileeeeeee! Matola anakula gizani
Hiii ndyo...
Wakuu msaada kuna katatizo kamenipata mwanzo wa wiki hii kuanzia jmosi yani najing'ata ng'ata kwenye ulimi kwa siku mpaka Mara tano daah yani mpaka sina raha wakuu najua humu kuna wataalamu...
Mbuzi ni mnyama ambaye amekuwa akifugwa na binadamu tangu enzi na enzi.
Kumekuwa na misemo mingi ya Kiswahili ambayo inayohusisha mbuzi either kuna sababu maalumu au labda imetokea 'coincidence'...