Kuna members wengi humu jf tangu uingie mwaka 2015 sijaona wakichangia wala kutoa Post ya habari yoyote ile, sasa hapo ndipo ninapojiuliza kuwa hawa members bado wapo hai Au tayari wameshatangulia...
Kuna mpita njia mmoja alikuwa anamtafuta jamaa ktk mtaa flani,akamwona Mluguru amekaa nje ya nyumba yake,akaamua kumuuliza,mazungumzo yalikuwa kama ifuatavyo:
Mpita njia: umemwona Mangi...
kila DEMU ukimtongoza anakuambia YUPO
INRELATIONSHIP..
afu kila BOY ukimuuliza anakuambia yupo
SINGLE.
sasa hao mademu wapo inrelationship na nani?? C elewi....������
Tehe tehe tehe!
Mzee mmoja alitoka kijijini kwenda
mjini kumsalimia mwanae wa kiume pamoja na
wajukuu zake. Alipofika akapewa msosi wa nguvu akala akashiba, mara
akasikia mtoto anaitwa, "Juma...
Enzi hizo Mtambuzi alikuwa na kazi ya pekee sana kuwaunganisha wana JF Wa Dar-es-Salaam pamoja akiandaa mikusanyiko ya members akianzia na ile ya Kebby's kisha muendelezo Leo Tuko Hapa Pub...
Ladies and Gentlemen!!
Our friends inlove!!
Leo tarehe 20 November, shansarie mpenzi wangu wa Rohoni na Mwilini anatimiza miaka kadhaa ya kuishi hapa duniani..
I thank God, for her life...
FAIDA KUU TATU ZA SIGARA
1. Mvuta sigara hazeeki
2. Mvuta sigara haumwi na mbwa
3. Mvuta sigara nyumbani kwake haingii mwizi
UFAFANUZI
1. Hazeeki kwa sababu hufa mapema kwa kifua kikuu
2...
Heri ya Mwaka mpya 2016. Moja ya vivutio vikubwa kwa wanandoa ama wanamchepuko wanapo kuwa kwenye ligwaride ni kile kinachoitwa :- kupiga denda/ kunyonya denda. Kitendo cha wawili hao...
Waziri wa uchafu, shombo na takataka bwana Nzi kijani amejikuta akiharibu hali ya hewa katikati ya watu baada ya kuliona gari la Mh Magufuli,
Imesemekana chanzo cha sakata hilo ni kwamba, Nzi...
Kuna Jamaa alikuwa safarini kuelekea vijiji vya mbali, bahati mbaya kiza kilikuwa kimeanza kuingia kabla ya kufika mwisho wa safari yake. Jamaa ikabidi kuomba hifadhi katika nyumba moja. Jamaa...
Kwa mfano kama hii My WOMAN my eveeeeeery THING... , ni yupi unayemmanisha hapo? Mama, Kimada, au wife. Je, mzazi wako wa kike unamjali kiukweli ukweli kama unavyomjali kimada na wife wako?
Naweza sema kuna great thinkers wengi sana humu wenye vitu adimu na hoja zenye mashiko, wako wengi kwa kweli walionivutia mwaka huu tunaoumaliza 2015, lakini hawa ni 10 kati ya hao wengi.
10...