Mwanaume mmoja aliwatongoza wanawake watatu tofauti na nia yake ni kufanya upembuzi yakinifu ili mmoja wao awe mkewe. Hivyo jamaa aliamua kuwapa jaribio kwa kuwapa Tsh. 500,000/= kila mmoja huku...
Nipo kwenye kibajaji natokea Mitaa ya Mwenge naelekea Riverside, Dreva wa bajaji analalamika sana kwamba Dadazetu siku bidhaa yao imeshuka sana bei yaani analalama akidai kuwa imekuwa kitu ya...
Habarini Wanajamvi.
Kuna members wenzetu ambao wamepotea kwa kipindi kirefu hawajaonekana kwenye jamvi.
Kupotea huko kunafanya tu-miss hekima zao,ucheshi wao, vituko vyao na hata karaha zao...
Coz nkiangalia wazee watu wazima wanafanya mambo ya kjingaa, wanawaza ujinga, wanatoa mawazo ya kjinga kwa umri wangu siwezi kufanya na sijawahi kufikiri kama ntakuja kufanya ujinga wanaofanya...
MWANDISHI: Unaitwa nani? MMAKONDE: Jina langu ukiliandika litaloanisha kitabu. MWANDISHI: We sema tu unaitwa nani? MMAKONDE: Jina langu ukiliandika litaloanisha kitabu labda uandike ndani ya ndoo...
Msaada tafadhali. Nimenunua Luku lakini kila nikijaribu kuingiza inaniandikia error 77. Nalala gizani mwenzenu. Haijawahi kuwa na tatizo kama hilo kabla.
jamaa m1 anyeitwa KINYA alikuwa akitoa show ... ya muzk
akaanza kujisifia kama kina ali kiba ni al k on the stage...
akaanza mambo vepee nikinya hapa kwenye stage ni mm hap nikinya nataka kutoa...
Msamaha wa kweli unahitaji Neema ya Mungu.Sikiliza hii,Kuna jamaa mmoja na Mkewe walikuwa wanasafiri kuelekea Italia kwa safari ya kibiashara kwa ndege.Wakiwa angani likatoka tangazo kwamba injini...
Toleo la 4!!
Happy August to all...
1. Kiranga aamua kuokoka! Ashangaa sana injili ilivyo tamu, nyimbo za kusifu na mapambio vyawa burudani tosha kwake..
Apendelea Kanisa la Gwajima, Kawe...
Habari zenu wana jukwaa wenzangu popote pale mlipo......yakiwa yamebaki masaa machache tuukaribishe mwaka mpya...wa 2016.....KILA MMOJA WETU ana shauku ya kuufika na kuuona huu mwaka mpya ulio...
Aiseee wana jf humu ni kiboko..yan usithubutu kusema u are single watakua wageni wako wa ghafla huko kwenye pm..yan jana nimeongea swala la kumuomba Mungu anipe mume 2016,nimepata waume wema kibao...
Wakuu nipo Bar moja apa sinza kiukweli ina totozi wa kumwaga sana hili chimbo ni sijawahi tia mguu ni leo ndo naanza Sijui ningoke na mwaarabu au africast , Wife leo nimempa likizo Btw Nipo na...
Hakika kwa jinsi JPM anavyotaka kuupanga mji naona wazi watu wakirudi kijijini.
Mfano piga hesabu mtu alijenga bondeni tangu miaka ya 1980. ..hivi leo anaweza kununua kiwanja?
Kutokana na kuwa...
Ninadem hatujawahi duuuu lkn ananizingua sana hataki tu duuu mpaka mwakani sasa yy anapenda kuniomba hela sana bt awamu hii nikagoma kumpatia kaniandikia ujumbe kwamba """ usiponitumia Leo bc...
Nilikuwa naongea na ndugu yangu aliye pugu majohe ameniambia kuwa Greda lilipokuwa linarekebisha barabara za mtaa kuna maeneo wameingia sana kwenye viwanda vya watu..hasa chake
Kwa kuwa wadau...