MAWASILIANO YA SIMU YALIANZA KUCHANGANYA MIAKA YA 2001+LAKINI KABLA YA HAPO MAWASILIANO HASA YA MAPENZ YALIKUWEPO HASA KWA KUTUMIA VIMEMO/LETTER.POINT YA MSINGI BARUA IPI KATI YA ULIZOTUMIWA...
Jamaa tajiri sana akaugua na akijua atakufa tu kamwambia mke wake amzike na hela zake mkewe kakataa weee,mwishowe kasema sawa.
Siku ya kuzika kaweka boksi kubwaaa, jamaa wakamuuliza nini hicho...
Ni Mimi @Nje ya Mada... Nawatakia Heri ya mwaka mpya nyie wanawake ambao baadhi yenu siwajui heri ya mwaka mpya.
@Evelyn Salt
@Madame B
@Madame S
@miss chagga
@nifah
Nina uhakika 2016...
mke katika kufanya usafi chumbani kwake akakuta sanduku uvunguni.akafungua na kukut mayai matano na sh milion 1.jioni akamuuliza mumewe na ilikua hivi
MUME; usijali,huwa nikisex nje ya ndoa naweka...
Mimi ni msomaji mzuri wa magazeti, na msikilizaji mzuri wa redio, huwa naangalia luninga mara chache sana kama nikibahatika kupita mahala kuna luninga. Sasa wiki hii nimesikia mengi kuhusu hizi...
Jamaa kaingia msikitini kuswali bahati mbaya alisahau kuzima simu
wakati ibada ikiendelea simu yake ikaita. Akaingiza
mkono mfukoni kwa lengo la kuizima, bahati mbaya akaipokea mara sauti ya kike...
A mand and his best friend had this conversation
“Why have you got those marks on your knees?” her friend
asked.
“Oh, it’s making love, doggie style.”
“Well, why don’t you change positions?”
“I’m...
Machizi wawili walikuwa ndani ya
treni safarini kutoka Dar es Salaam kuelekea Kigoma, wakati safari ikiendelea
chizi wa kwanza akachungulia dirishani akamwambia
mwenzake, "Mwanangu unaona miti...
FACT!
1.Ukiona geto lina feni, sabufa, meza ya plastic na kitanda ch sita kwa sita na Pc UJUE ni jamaa wa UDSM.
2. Ukaona geto lina nguo nyingi za watu tofauti tofauti, unga mwingi, vtunguu...
Nakumbuka ile siku ya kwanza ambayo niliianza safari hii mi naiita nzuri japo iliyowatesa wanaiona mbaya.....yaani siku ya kwanza kungonoka.....daa!!!haka kamchezo ni katamu balaa....wakati kile...
HABARI
Naitwa moody kabwe
Siku- ya ijumaa tarehe 25/12/1988 Mama na Baba BAKARI KABWE walibarikiwa kumpata mtoto wa kiume. Na Wakamwita mtoto
huyu MOHAMEDY BAKARI RASHIDI KABWE
Na leo ile...
Kuna aina fulani ya mnyama,jamiii hiyo endapo ikapofanya mapenzi huwa wanafurahia sna hilo tendo,yaaana hata uaonapo unaona jinsi gani walivyo na furaha pindi wanapogegedana,je mnyama yupi huyooo
Kuna jamaa alikamatwa na kupelekwa Segerea wakati
anaingia wafungwa wa mule ndani wote wakaanza
kuimba "Mwalii mwalii
mwalii mwalii!."
Jamaa kusikia anaitwa mwali akaona hili balaa akijilegeza tu...
Jamani sio mbaya tukaulizana swali hili na kupata majibu ya pamoja.
Hivi kwa nini dada zetu wengi kama sio wote wanapenda kupiga picha kwa kubinua makalio yao?
Kwani wakipiga bila kuyabinuwa...
Habari za asubuhi wambea wenzangu africa mashariki na duniani kote, ningependa kuwapata taarifa kuwa mbea mwenzetu mwenye kiwango cha hali ya juu aka pacha ya warumi aitwaye Dinazarde amepata...