Kuna mdau huku kauliza kama Tanzania tuna submarine[nyambizi], napenda kumjulisha kwamba tunazo za kutosha, pale ziwa victoria tuna sangara, sato, mba na dagaa wa kutosha, ukienda bahari ya hindi...
Marshmello's 5 Favorite Latin Things | Billboard
"Thriller" lyrics
Michael Jackson Lyrics
Follow Michael Jackson
on Bandsintown
"Thriller"
[Michael Jackson:]
It's close to midnight and...
Mambo vip?
Hakika tembea uone,
Siku moja mshakaji wangu ile ile aliniambia kuna rafki ake alikua akifanya nae biashara kkoo amemuunganisha na mtaalam kutoka shinyanga huku ambaye ni hatari...
Leo nimekumbuka kitu nikacheka sana.
Wakati Niko Std 7 nilikuwa na mahusiano ya kitoto na sista du mmoja hivi tulikuwa tunasoma darasa Moja. Sasa communication yetu ilikuwa kuandika barua halafu...
Hawa TMA kwa kweli hawakukosea Leo nimechapwa na mvua Moja pande za kisongo airport mpaka nikaficha simu yangu sehemu za siri.
Ni mara ya kwanza nime experience kichapo Cha mvua namshukuru Mungu...
ELERAI MAJENGO ARUSHA :-
Hapo panaitwa Majengo. Ni moja kati ya mitaa inayopatikana jijini Arusha. Kuna;
Majengo ya Juu:-Temboni, Sacon, Mwisho wa Kidala, Shuma, Azimio (Hapa ndo pale azimio la...
Wana jamiiforums nawafananisha na wachungaji ambao muda wote reference yao ni matukio ambayo wamewahi kukabiliana nayo na kuyashinda na matukio hayo hujirudirudia.
Wanajamiiforums wengi...
Sikili mimi maskini,
Uvivu wangu nyumbani,
Ukiwa huu njiani,
Nakufa hapa kwa nini?
Sadiki sasa ashiba,
Chakula kingi kwa baba,
Nirudi tena kwa baba,
Nakufa hapa kwa nini...
Nimekaa nimefikilia kunavitu huwa nachanganya kati ya USHAMBA na ULIMBUKENI naombeni wakuu mnipe maana hizo kwa mifano, nasema Ivo kwa sababu kuna manzi mmoja tulikuwa na appointment tutoke twende...
1. Watu hukaa na kuanza kuongelea wengine (umbea) ili wao wajione superior kwa wengine meaning they are better than them which is not true. Maana hawana namna nyingine ya kujiona they are better...
Yaani nna hasira mbaya mpaka nimesahau kuwasalimuni.... kuna mtu natamani nimrestishe in Piis.....
Lakini kuna ushauri nimepewa na washkaji zangu kuwa leo nitoke na mmoja kati ya mawaifu zangu...
Ninaye rafiki hapa jamvini ambaye sijawahi kuonana naye wala kusikia sauti yake lakini tunawasiliana kupitia PM.
Ninamtakia heri ya kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa. Naamini kwa wema wa Mungu...
Nawatafuta watu kutoka familia ya Ukoo wa Mkombe kutoka Lupatingatinga, Chunya...
Kama mpo humu ndani please inbox me au comment hapa.
With much thanks in advance
Habari wakuu,
Mwaka huo unakwisha, kama ilivyo Kila mwaka unavituko vyake.
Kama sio kwa wanasiasa basi ni kwa watu maarufu huko duniani.
Pia kama sio kwa Simba na Yanga basi ni kwa watu wa...
Miezi minne iliyopita kuna mzee aliondoka hapa kijiji cha masakata wilayani tunduru kuelekea jijini dar es salaam 'jiji la maraha.
kwenda kushughulikia miamala ya pesa zake za mafao baada ya...
Hello guys za jioni.
Niko samaki samaki nowz karibuni tujumuike.
Naomba mnitajie Memba wako wa Tatu bora katika mwaka 2023.
Kwa upande wangu mie ni.
1. Mshana Jr
2. Mpwayungu Village
3...