Haiijalishi nilivoamka
Hainipasi kusikitika
Ujasiri nimejivika
I decided to be happy
Mwili wangu u - dhaifu
Ila nampa Mungu utukufu
Sitakuwa,wala sina hofu
I decided to be happy
Nimechagua kua...
Wanajamii wenzangu!
Ni kweli, Mwanadamu awe Mwanaume au Mwanamke mpaka anakuwa mtu mzima anapitia mambo mengi sana kwenye mahusiano.
Pamoja na kuumizwa kuna wale ambao pia umewaumiza...
Jf Today's Birthdays jumla ya member 33 ambao wame andika tarehe ya Leo 11/09
Happy birthday am 4 real
Kwa niaba ya wote tuliozaliwa September eleven......
Niseme,
Happy birthday to you All π ππ
Yani wanawake wengi tena haswa awa wanajiita ma BBF ndo kabisa, mtu anatoa habari za huyu anapeleka kwa mwingine Alaf anajifanya oh my babe I always got your back kumbe unafki mtu akiwa pembeni...
KESI YA UCHOCHEZI YA NEY WA MITEGO NA WIMBO WAKE MPYA WAPO
NA
,Mdude nyagali
WAKILI; unasema wewe ni afisa wa polisi ney wa mitego alifanya uchochezi kwenye nyimbo yake na baadhi ya maneno...
We ni mtu mzima, huu ujinga wa kudandiadandia mambo unatoa wapi? Kila msemo unauvalia njuga. Kipindi wanasema wahenga ulikomaa kishenzi na huo msemo. Nakumbuka ukaja kukomaa na "Injinia soma...
Juzi kati nilileta thread jinsi navyoishi chini ya dollar moja kwa siku yote naizingatia kwenye mboga na nikasema mademu zangu kwa sasa wanalia njaa ya chakula mambo sio mambo.
Sasa leo nimepika...
Straight to the point;
Kwamba [emoji848] ...eti ili mtu aweze kuishi maisha yenye AMANI, FURAHA, UPENDO na KURIDHIKA itategemea sana tena sana Tabia yake (Habit), Mwenendo wake (Attitude), Hulka...
Mungu yupo pamoji nasi daima,
Kwa niaba ya wanaume wapambanaji na wala bata nakiri kuwa ni kweli vibonge wana joto zuri la mwili kuliko vimodo.
Vitu kama stamina ni kutegemea na aina ya...
Hatuwezi mlipa Wala muhonga Mungu ili atujibu hitaji za mioyo yetu.
Asubuhi hii ya leo lila mwana JF aombe Sala hii.
"MUNGU wa mbinguni asanteh kwa wema na neema zako, licha ya kuwa sisi ni...
Sijui hii comment niliandika nimelewa au laah, lakini Kuna mwamba kaja inbox kuuliza kama naweza kumpa million 3 na hio comment kuwa nina pesa mpaka zinamwagika imenibidi niisome Tena kwa utulivu...
Tanga mtoto wa kike akizaliwa tu anavalishwa shanga.
Arusha kama huna meno ya dhahabu unatengwa.
Manyara usipoua simba we sio mwanaume kamili.
Mara demu akiwa hapigwi anaomba talaka.
Mwanza...
Unajua ukizoea vidada vinavonata sana alafu ukiwa na kipesa kidogo cha kubadilisha totoz basi unaona sawa tu kuharibu laki kulipia kiwanja tuu kwa ajili ya pambano.
Nimegundua huku kwenye Lodge...
Kama habari inavyojieleza natafuta Mke wa kuoa, nimekuwa busy na kazi nakosa muda wa ku-mingle na kutongoza, na wengi ninaokutana nao wanawapenzi wao na wengine wameolewa. Sasa mimi nataka wa...
Wenyewe habarini za mchana ,this thread pls tuelezee matukio ya kutisha ambayo wewe binafsi umeshawahi kukutana nayo dunia hii kwenye kuishi kwako, mimi binafsi sitosahau siku moja nilikua...
Kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu,
Asante Jehova
Asante Mama
Asante walimwengu Kwa kunipokea kuishi nanyi.
Tuitafute amani sikuzote
Duniani tunapita tusijisahau tukalowea kwenye dhambi, Kila kitu...