Katika Maisha ya binadamu kupitia changamoto ni njia mojawapo itakayokuwezesha uweze kufikia malengo Yako lakini muda mwingine changamoto zinazidi uwepo wa uvumilivu .
Yani changamoto zinafanya...
Binafsi mimi nilikua mvivu sana kusoma (ila nilikua nabukua), sipendi kufanya test (nasingizia ugonjwa).
Ukinisaidia kwenye pepa lazima nikupite, nilikua najua sana kumodify majibu ya msaada...
Mi mgeni nilitafuta mwanaume wa kutulia naye. Sasa shida iko hivi kabla sijaweka picha kwenye avatar walitokea wachache ila nimeweka picha wametokeza wengi sana.
Mimi sio huyo kwenye picha mie...
Nakaa huku uswahlini chumba
hakina siling bodi na ukuta
unaotenganisha chumba na chumba si mrefu kiasi unaweza ukaruka kuingia chumba cha pili
Sasa hapa napokaa jirani wa chumba cha pili akitaka...
Wakuu za jioni.
Mwenzenu nataka kujipongeza (Kwa jinsi mambo yanavyoenda kadri nilivyotarjia) Kwa kupanda ndege kutok mbeya Hadi Dar via Precision air maana hizo zingine nimeon gharama sana...
Salute
Tarehe 10 June 199-
Member Da'Vinci nilizaliwa saa 4 asubuhi siku ya Jumanne Namshukuru Mungu kuniwezesha kutimiza miongo kadhaa Chini ya Jua hili.
Nawakaribisha tukate keki kwenye ukumbi...
Katika harakati za kutafuta maisha nimejikuta nimepita Mpwayungu Village Dodoma, kijiji anakotokea member mmoja mtata humu.
Assessment ya haraka haraka inaonesha ni kijiji cha hovyo hovyo which...
HABITS THAT DEFINE AN AFRICAN:
(1) Urinating behind the house.
(2) Wife sleeping next to the wall
(3) Keeping brooms behind the door.
(4) When you get rich,people say you have a secret bedroom...
Yani kuna matendo mnaweza ona kama havina maana ila ,kiukweli vina maana kubwa mno
Unaenda sehemu unaletewa chakula kabla ya maji ya kunywa au ya kunawa
Kibaya Zaid unakuta mke wa mtu yupo...
Hahahaha,
Nimeanza kwa kucheka kwa maana Smart911 is among the strangest members humu JF.
Mzee wa:
"Ngoja waje kukupa muongozo"
"binadamu wa siku hizi ni wabishi sana"
"Natumaini mtoa mada...
Basi hii ni mitaa ya Rwamishenye, Bukoba huku kwenye #RohoTua yangu awamu ya 8
..
Nukuu ya leo: Daima, wanadamu wanahitaji kuongozwa; na ukikosekana uongozi thabiti, watamsikiliza yeyote...
Kwenye maisha tunayoishi kuna changamoto nyingi tunazipitia . Changamoto hizo nyingine hutupandisha kutoka sehemu moja na kutuweka kunako nafasi fulani na nyingine huturudisha nyuma kabisa kwenye...
Wasalaam JF,
Nikiwa nakula vibe la amapiano kali nitoe ujumbe na rai ya kutambua urafiki wa damu kati ya Mo energy na Hanson choice.
Ni ujio pekee wa Yesu ndio unaweza kuamua vinginevyo...
Ijumaa ndio hii, inakaribia kuishia.
Maisha ni kufurahi na marafiki, sio kila siku kuwaza kununua matofari tu; kuwekeza mwilini kwa kuupa furaha ni muhimu zaidi.
Wako wapi wazee wa kale...