Nimekaa nimetafakari nimegundua Walevi tuna umoja sana
Toka nitangaze kuacha pombe wengi wamenifuata inbox kuniomba nirudi kundini
Lakini kuna wengine wamenitisha sana tena hadharani
Kuna...
Wadada mnaenda gym kudanga na sio kufanya mazoezi kule mnaenda kudanga kutafuta watu muwachune hela za pango
Kipindi cha gym kujaa ni mwezi wa sita na mwezi wa kumi na mbili ndio gym inakuwa na...
Kama mjuavyo, kazi ya moyo si kusukuma damu tu. Kazi nyingine kubwa ya moyo ni kupenda, na kila mtu anapenda kupendwa.
Na humu ndani kuna watu wana hisia na mtu fulani (ID), ila wanashindwa...
Hello 👋
Kuna vitu vitatu hapa je wewe kwako kipi ukikosa unapata tabu
MB?
Dakika za maongezi?
SMS?
Mimi nikokosa MB napata homa naona simu ni kopo tu je kwako?
Mishikaki ya kwa Mfojo huko Tabata imekuwa gumzo. Watu wanaisifia sana na Juzi Mfojo mwenyewe alikuwepo radioni Clouds na kasema anauza hadi kilo 200 kwa siku.
Jamani wenye ushuhuda na utamu wa...
Anayeelewa hili fumbo.
Mimba hadi kuzaliwa miezi ni Tisa.
Ila birthday yako ni kila baada ya miezi kumi na mbili.
SWALI
Sasa pale kwenye tisa ya tumboni na huku kumi na mbili mbona kama tunaiba...
Heri ya nusu mwaka , ngoja niwape maua yao watu wafuatao 😂😂
Wanaume wote ambao wako kupambania familia zao no matter what!! Mungu awabariki sana
Wanawake wote masingle maza waliachiwa watoto...
1. Kukata chips Kama wanavokata wakaanga chips wanamenya kiazi wwnapiga mistari yao sijui ndo ya diagonal chap vipande vinatokea Mimi nahangaika nitaanza kukata kwenye circle Kwanza ndo circle...
Kwanza naomba niweke ushabiki pembeni, wake zetu kuna wakati wanakera sana sio kwa ubaya lakini maswali yao na jinsi wanavyotaka uwajibu!
1. Ukitaka vita kali usimsifie mke wako, atakuja na...
Mara zote kwenye kila jambo linalokusanya umati kunakuwa na vijimambo nyuma ya pazia ambavyo havipewi kipaumbele.
Sasa katika vijimambo vya Sabasaba vya leo sisi wengine tumeona hii kitu na...
Imagine toka asubuhi... Nipo tu bila nguo hotelini. Naagiza chakula wanaleta na watch movies tu.
Kubwa zaidi nakunywa zangu pombe huku najamba tu na ku enjoy harufu yake. Nimegundua kuwa harufu...
Wakuu,
Unaweza kuona kama swali dogo hivi ila ni la msingi sana,kama hujakutana na mgogoro wake basi kuna siku utakukumba tu [emoji3]
Siku kadhaa zilizopita nilipanda basi kwenda mahali...
Wanasayansi wanasema hashki ya mwanamke ni asilimia 99 kwa maana msisimuko wake katika kujamiana, hili halina pingamizi katika pande zote mbili kwa maana ya sayansi na vitabu vya dini.
UKIBISHA...
Hebu fikiria unaamka tu unakutana na hili balaa...
MDOGO WAKO:Kaka naomba 600,000/= Kwa ajili ya ada . Walisema nisipolipa hawatanipokea kabisa .
BABA MWENYE NYUMBA:Missed Calls 83 na Ujumbe...
"Hello Filipo,
We at JamiiForums would like to wish you a happy birthday today!
It's a special day in your life and NOT just a year older, but a year better!
Wishing you all the great things in...
Habari,
Leo ndio msimamo wetu unaonyesha hov
Makete 9
Njombe 11
Mbeya 13
Iringa 14
Arusha 18
Bado tunafatilia maeneo ya katesh manyara
Nb:vipimo vipo kwa degree centigrade
Sent from my...