JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Herj ya kumbukumbu ya kuzaliwa. Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa unakutakia heri katika siku yako ya kuzaliwa Ndugu Ali Rajabu Issa. Katibu wa Idara ya Uchumi na Fedha UVCCM Taifa...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndo ivo Ijumaa ila niko mpweke naomba ujee basi tuchat
5 Reactions
113 Replies
4K Views
1. Mwanaume ukishakua na gari bhaasi umemaliza kazi. 2. Utawagonga warembo mpaka uchoke. 3. Ulikosa gari hata kama Una bilioni au Una nyumba utaishia kupiga nyetto
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Kilimo ni kweli kina kipato kikubwa pia ni uti wa mgongo wa taifa lakini kilimo narudia kilimo kina vitimbi vingi kwa ground. Ukifika mashambani kunatisha mno wivu, chuki fitina na imani za ajabu...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
➡️Habari zenu wakuu Nafahamu kwenye pitapita zako umeshawahi kukutana na hawa jamaa ➡️Ipo hivi jamaa walianzia life huko interior kazi kubwa ikiwa ufugaji yaani kuuza mifugo na mazao yatokanayo...
2 Reactions
14 Replies
879 Views
Msiniulize kwa nini-nimemaliza!
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Mungu fundi bhana.. Tumbo lingekuwa na kioo tungeona mengi 😁viazi, magimbi vitumbua n.k ila akajua akili zetu na tabia zetu. Ule baga au magimbi wote tunaishi.. unyama sana yaani. [ ]...
5 Reactions
9 Replies
497 Views
Mimi huwa sipendi kukaa na abiria anayesinzia na kunilalia begani. Wewe huwa hupendi jambo gani?
10 Reactions
66 Replies
2K Views
Ni hatari kweli kweli, watu wanamfata lecturer niongeze hata alama 1 tu lecturer nae anakuja kama wewe umezikosa mimi nitazitoa wapi? Maombi yenu yanahitajika sana kwa hawa ndugu zetu.
8 Reactions
98 Replies
4K Views
Hili kosa la kutuma sms kimakosa nahakikisha sitalirudia tena. Nakumbuka niliwahi kumtumia mama yangu mzazi sms ambayo ilikuwa inatakiwa iende kwa demu fulani hivi [emoji23], bahati mbaya ikaenda...
87 Reactions
263 Replies
38K Views
Naishukuru sana hali ya hewa ya baridi kwasababu wewe ndiye sababu ya mimi kutungwa mimba, pengine isingekuwa baridi labda wazazi wangu wasingelitafuta joto. Wengi jambo hili litawachekesha...
2 Reactions
15 Replies
845 Views
Nani alikua anajua kama leo hii ungekua hapo ulipo kama sio Mungu, hata kama mambo bado haya jakaa sawa jipige kifua unaweza [emoji123]
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Asili kamili ya watu wa RUSSIA ni Afrika ya Kusini hasa zile Jamii za wawindaji ixhosa. Neno Russia ni muunganiko wa maneno mawili. 1.Ru uxembana ndaba na ezolo -- Uruuu. 2.Ishiya. Ru (Uru ) +...
5 Reactions
22 Replies
831 Views
nimekuwa nikisikia sikia watu wanasema jukwaa la wakubwa..jukwaa la wakubwa...sasa mimi nimekuwa nikizurura kwenye vichochoro vyote vya jf sijaliona...liko wapi hili jukwaa...au ni jukwaa...
3 Reactions
100 Replies
15K Views
Feni, AC, zimepumzika leo malaika aliyeshika zamu siku ya leo kaupiga mwingi, apewe maua yake. Tunaomba na weekend moja mshika zamu atumwagilie moyo na kijibaridi kama hiki. Kizuri sana kwa...
0 Reactions
1 Replies
291 Views
#1. adriz Anasali kila siku, anatoa Sadaka, anaimba kwaya, ana maisha ya juu (Tajiri) husoma neno Kanisani, ana maringo (majipu), dharau anazimiliki yeye, mpenda majungu, Mfitini tukuka na...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Am in hurry, so let's get straight to the point. Ndugu zangu waTz wenzangu tuna ujinga wa hali ya juu sana, yan sijui ndo kufuatilia mambo hatuna au ndo vile elimu yetu mbovu kabisa, mfano...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari zenu Wakuu katika jamvi leo niwarudishe nyuma kidogo. Katika kumbukumbu zako ni matukio gani ulishawahi fanya ukajutia maishani?
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Najua wewe mwanajamii mwenzangu ushawahi kusimuliwa ama kusikia kuhusu fedha hizo, au mtu mwenye nazo, au uko nazo basi huu ni uzi wa kushare nasi visa hivyo. Mimi niliwahi kusikia tajiri mmoja...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…