Ikiwa ni siku ya tarehe 18 ya mwezi wa sita, soku adhimu sana, siku ambayo kila mwaka dunia hiadhimisha siku ya kjnq baba kwa kutanbua mchango wao katika ngazi mbalimbali kuanzia ngazi ya familia...
Sasa naomba members wote msipite hivi hivi bila kulike hii thread
Wee gonga to like then endelea na mambo yako,usijiulize sababu ya wewe kulike ila wewe fanya tu kulike
Huu uzi " Uzi maalum wa...
Sasa tuna Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi
Huko Mbele tusichoweza kukodisha ni Daladala tu😀😀
So tutabaki na Waziri wa Daladala
Kamati ya Bunge ya Miundombinu itakuwa inakwenda kukagua Daladala...
Juzi nilikuwa nimekaa na mdogo wangu huyu dogo ni binamu yangu. Ni dogo ambae tumesaidiana sana toka wadogo na nimemlea pia maana yeye ni 2003 uko na mzidi sana.
Issue iko hivi dogo ana niheshimu...
Wananzengo wenzangu, sina hata 100, ila nimeipenda nyumba moja Salasala, je niombe dua gani niweze kuinunua?
Nimeikagua ina mita za mraba 1600, bei ni millions 150, Ina bwawa la kuogelea, pia...
Habari na pole na majukumu ya kila siku.
Najua hakuna aliyewahi kukuambia na kama yupo Mimi nakuwa wa ziada kukuambia leo kwamba "NAJIVUNIA WEWE"
Pengine maisha yanakupitisha katika vipindi...
We kijana uliyesoma soma huko,
kuna sera mpya inakuja haiwezekani ule milo mitatu hivi hivi wakati huna kazi yoyote unayofanya hapo nyumbani
Halafu ukute anayekulisha amekubali kuteseka na kazi...
Wanywaji hili mnalifahamu vizuri kuwa pombe hainaga majina mabaya, majina yake ni mazuri mfano; Common, Washington, Kiboko, Mamba.
Sasa na wewe kama unafahamu majina mazuri yanayosumbua huko baa...
Kwakweli mimi sio muombaji kifupi nimekata tamaa kabisa kwenda kwenye maombi ya aina yoyote kwasababu sioni matokeo ya wanao omba.
Matokeo yangekuwa ya kweli wala sina mengi ya kuomba zaidi ya...
Asalaam alyeikum ndugu wana jamii ya jamiiforum..?
Awali ya yote poleni kwa maswahibu mnayopata sehemu mbalimbali na wale mnaokula raha shikilieni hapohapo.
Mwenzenu juzi kati...
Nimekubali wazaz hawaachani enyi vijana tusijidanganye tukaoa single mama
---
Huyu ni mlinzi wa klabu ya Real Madrid, Eder Militao akiwa na mpenzi wake wa zamani, Karoline wakifurahia...
Aliyekamilika
Hakuwepo,mkamilifu,duniani
Sie sote,wadhaifu,mafichoni
Haudumu ,unadhifu
Ni maisha, ni maumbile
Na hakuna, duniani
Mkamilifu
Abuuabdillah [emoji3578][emoji1241]
Leo nakumbuka siku yangu ya kuzaliwa nashukuru ni mzima wa afya maana katika familia yetu watu wanakufa kabla ya tarehe ya siku ya ya kuzqliwa kabla ya siku tatu au mbili na mimi pia wiki ilio...