Sheria imewekwa ili ivunjwe.
Tangu nilipoanza kusikia habali za bangi, sikutaka kuamini hivi hivi bila kuifanyia test![emoji4]
Bangi niliipata kiulaini tu (kijijini), nikaiandaa vema kabisa na...
Huyu dogo bonge ni roommate wangu chuo kimoja hapa Tanganyika.
Mshikaji anajamba usiku kucha halafu mwenyewe wala hata ajui anajamba usingizini sina raha hata ya kuishi nae.
Kanikela vibaya...
Mi nimeamka salama kabisa najiandaa kwenda kupambana nipo Dodoma familia ipo Dar usiniulize kwanini sijaileta Dom nina sababu zangu.
Njoo na tukio tujadili😎
Yapi maoni yako kuhusiana na mchezo wa Koinange utakaoanza rasmi nchini Sweden hivi karibuni. Je unafaa kushiriki ama haufai kushiriki? Kwako habari hizi zinakupa picha gani?
Nakumbuka enzi hizo Ukiwa na mashauzi au mnoko unapigiwa KIU hiyo nyakati za usiku mpaka utajuta kwenda MU.
Kama ulishawahi pitia MU tujikumbushe na KIU uliyowahi sikia ikipigwa nyakati za usiku...
Threads nyingi zilianzishwa kukuzungumzia wewe shunie ila na mimi ngoja niwe miongoni mwa waliofanya hivo japo yawezekana walikuwa hawajui wanachokifanya
Nafurahi jf hasa chit chat kunikutanisha...
Mimi ningekuwa mfalme Daudi nisingependa adui yangu aniletee upuuzi wake, nisingekuwa yesu eti unipige nikuangalie tu.
Wasaliti kama kina Yuda wangeipata freshi?
Wewe unadhani ulifaa kuwa nani...
Mambo ni mengi ,binafsi nigeweka hivi: Front page (FP) na last page (LP)
FP: Watoto wasumbua likizo na wazazi wakitamani shule kufunguliwa (kana kwamba wao hawahusiki na malezi)
LP: Kiatu...
Kila mtu anarafiki yake anayekuwa naye kwenye mambo Mengi ila swali langu je unamwamini kiasi gani huyo rafiki yako ??
😁Mie Sinawakumuamini kwakweli naishi Kwa msaada wa Mungu Kwa kweli
1. John- Ni mpenda sifa na muongo, kamwe hawezi kukuruhusu ukashika simu yake
2. Brayton- Anapenda kulalamika muda wote, anaringa, anapenda kubembelezwa na anapenda kulelewa
3. Moses- Ni mkali...
Enzi hizo mnatoka Jolly mnakesha Las Vegas Casino au Billz kunakucha sa kumi na mbili kijua hichoo, mko nyanganyanga mnachomoka hadi kino wale tuliokaa mitaa hiyo Mnaishia Kiria Bar.
Sufuria...
Hi..!
Siku mwezi na tarehe kama ya leo my lovely person..Vinchii wangu alizaliwa.
Happy birthday to you.
Long may I reign.
Zawadi za birthday zitumwe...
Dunia inaundwa na mabara 7 moja limejaa barafu
(Antaktika: Hakuna wakazi wa kudumu lakini watafiti na wafanyakazi 4,000 katika majira ya joto na 1,000 katika majira ya baridi.)
Bara la Africa ni...
Jana nimejifunza mengi sana, nilikunywa bia zangu Manzese kichwa kilivyochanganya nikasema pesa kitu gani bhana kesho nitatafuta tu kwanza zipo za kutosha nikakimbia chap ATM nikawithdraw laki nne...
Nimekuwa na changamoto kubwa ya kujihisi hamu ya kufanya mapenzi kila wakati. Nimezunguka hosp nyingi duniani wataalam wanipunguzie hii hali imeshindikana. Madaktari wanasema ni kutokana na...