JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
#"SITOMUIBIA_MWALIMU_MILELE" ni kauli iliyotolewa na kibaka baada ya kuiba Pochi ya Mwalimu wa primary na kukuta vitu vifuatavyo:- 1-Majina ya wapiga kelele darasan 2-Majina ya waliochelewa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natafuta nyumba ya kupanga Moshi, iwe self ya chumba kimoja, au vyumba viwili double, ila pawe na parking ya kupaki gari. 0758-717754
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi wanawake wanaotumia mkono/mguu wa kushoto (left handed), wana sifa ipi ya ziada?
0 Reactions
23 Replies
5K Views
huwa nasikiaga watu wanapozeeka wanarudia tabia za utoto, sijui kuna ukweli kwa kiasi gani.... Ila mwenzenu (sikumbuki kama kuna kipindi niliwahi kuliacha hili) ninapokuwa na usingizi macho...
23 Reactions
324 Replies
14K Views
Salamu wakuu, heshima kwenu. Hili jambo ni la siku nyingi nimekua naliwaza ila leo inanibidi nitangaze kuwa nipo ninamchumbia Mtajwa hapo juu Mary Hanbig Natangaza rasmi kuweka wazi kuwa...
8 Reactions
335 Replies
15K Views
Jamaa kapoteza mali zoote na akawa maskini wa kutupwa sababu ya ulevi. Siku moja akapita karibu na jalala akaona chupa za bia. Akashika ya kwanza akaipasua akasema: kwa sababu yako nimeachana na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Guys. Niko down sana. My boss is just frustrating me nimeomba kazi mpaka nimechoka. Haongei na mimi. huwa akitaka kunipa kazi anatuma watu. Nikiingia ofisini kwakwe anaongea na mimi kama vile...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Jaji mmoja katika jimbo la TENEESEE nchini marekani ameamuru mtoto alipewa jina la MESSIAH abadilishwe jina hilo kwasababu yesu kristo pekee ndio anapaswa kuitwa jina hilo,wazazi wa mtoto huyo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
jamaa kauza dhahabu anatafuta mtu wa kuspend nae mimi ni dalalaina huyu ni mshikaji wangu sna
0 Reactions
1 Replies
2K Views
I'm far from home,nimepokea texts za watu. kweli amezeeka miaka 93 si kidogo but i just feel sorry for my daddy maana kwenye situation kama hizo hawezi kujicontrol.
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Habarini bandugu Olailotaige, Ulimola, Ughonile, Ulewedi, Shimboni, Kamwene, mhm jamaninimechoka kuendelea na salamu maana sitaweza maliza Tanganyika yote na Tanganyika zanzibar...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Hii kweli imetokea, tulikuwa tupo kwenye daladala asubuhi kutokea ubungo - posta abiria wote tumetulia kama kawa wengine wamekaa wengine wamesimama sasa ghafla jamaa mmoja sharobaro amepiga pamba...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Kwakuwa ni lazima tupongezane ili tuonekane wazalendo basi pongezi ziwaendee 1. Wahandisi wote wanaojenga majengo marefu ya kisasa na yakaporomoka 2. Wanasheria wote wanaotetea majambazi na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Achaneni na cha tarime tumieni cha nading'oro kinauzwa kwa barakaa hapo car wash karibu na mt meru,puff moja unavua serewale mchana kweupe,mtaipendaje? Cc: Arushaone Erickb52, Nicas Mtei na...
4 Reactions
63 Replies
3K Views
Habari wanajamvi wote Nawatakia sikukuu njema ya nanenane (88) kwa wale wakulima na wazalishaji wa nafaka na mazao mbalimbali Mungu awafanikishe kwenye mazao yenu mpate masoko na mzidi kufanikiwa...
13 Reactions
67 Replies
5K Views
"Sasa nimeamini kwamba kila mmoja wetu ana wito binafsi hapa duniani, wito huo ni wakipekee kabisa kama alama za vidole, Na kwamba njia bora ya kufanikiwa ni kugundua nini upendo na kisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mugabe na familia yake walitaka kwenda mapumziko kusherehekea ushindi wa uchaguzi uliofanyika hivi juzi. Mugabe alitaka kwenda Dubai, Mke wake Grace na watoto wawili walitaka kwenda Bahamas...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
A little old lady answered a knock on the door one day, to be confronted by a well-dressed young man carrying a vacuum cleaner. ‘Good morning,' said the young man. 'If I could take a couple...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamaa wawili walikuwa wamekaa baa wanakata kinywaji (Mmmoja alikuwa mmarekani na mwingine muhindi) Jamaa wa kihindi kwa sauti ya kilevi akaanza kulalama "Huko home bhana wanadai wamenitafutia...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Girl; I need a man who is handsome with a nice car,beautiful house a good job who have alot of money and who will love me for who i am not considering my weaknesses. Me: Girl,you need Jesus Christ.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom