JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The man replied, "I'm on my way to a lecture about alcohol abuse and the effects it has on the human body, as well as smoking and staying out late." The officer then asked, "Really? Who's...
0 Reactions
0 Replies
974 Views
hABARI zA sIKU wANA CC
0 Reactions
11 Replies
1K Views
mashoga wawili,anti beni na anti rashidi walikutana wakiwa na hamu ya kukwanyuliwa,anti beni akamwambia anti rashidi atoe kitendawili kama akipata anamkwanyua.akikosa yeye anti rashidi amkwanyue...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mke
Jamaa mmoja aliulizwa utaoa liniI ?akajibu nasubiri mwanamke atakaeachika ndio nimuoe;watu wakamuuliza kwanini unataka aliyeachika? akawajibu kwasababu MKE MWEMA NI YULE ANAYETOKA KWA BWANA .
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nikiwa na miaka 9 tu,nilikupoteza mama yangu kipenzi.Sijaacha kulia juu yako katika kipindi chote hicho,kila ninapovuka vizingiti ndivyo ninavyozidi kutamani ungekuwepo pembeni yangu na kunipigia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
0 Reactions
3 Replies
2K Views
mgonjwa: dokta nisaidie nna tatizo la kusahausahau dokta: sawa, hilo tatizo limeanza lini? mgonjwa: tatizo gani?
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Dating Tanzania - You can easily find local singles, dating partners, womens, girls, mans, new friends, singles from all over the world and Tanzania
0 Reactions
26 Replies
8K Views
hivi mwanaume wa kabila la kijaluo kuoa m2 na dada ake na sahihi??? ebu sema chochote juu yao
0 Reactions
2 Replies
3K Views
habari ndugu zangu, naelekea kwa watani [wagogo] ila naomba nijue kabisa, kuna JF dodoma wing? kama ipo, ndio napiga hodi ila nikikuta ni wagogo watupu, ntamtuma hausigeli aniwakilishe...
0 Reactions
0 Replies
882 Views
Miaka kadhaa iliyopita rafiki yangu alitaka kukatisha maisha kisa hali ngumu. Hakuwa na fedha, hakupata wa kumsaidia. Alitengwa na familia. Kikubwa alijiepusha na madawa ya kulevya. Leo hii ni mtu...
0 Reactions
3 Replies
939 Views
Jamaa kapoteza mali zoote na akawa masikini wa kutupwa sababu ya ulevi, siku moja akapita karibu na jalala akaona chupa za bia. Akashika ya kwanza, akaipasua, kwa sababu yako nimeachana na mke...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mie naishi mjini ! Na mjini ndiyo tunakojifunza ama kusikia mengi kuliko kule mashinani (vijijini). Miongoni mwa ninayoyasikia sana yakisemwa ni pamoja na hili, kwamba -; "Eti za kizungu ni za...
2 Reactions
46 Replies
3K Views
Hope mko poa niwataki kila la kheri kwa wale ambao ni wagonjwa nawaombea wapate nafuu warudi ktk mihangaiko ya kila siku Mungu awabariki sana
0 Reactions
1 Replies
909 Views
Nakuuliza wewe mwana Chit-Chat. Hivi ulijisikiaje siku unajiandaa kwenda Dar,vp usingizi siku hiyo uliupata?vipi ulikula kweli siku hiyo?mavazi jee uliyo lipuka nayo kuingilia jijini? Wapi/Nini...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
wakuu naomba kuuliza hili swali ivi hawa wa Moshi wanaweza kweli football? sijawahi kusikia '....anakwenda pale masawe.....masawe anampa shirima......tittu....
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Huyu mkokotaoaji naona na visasi na mama na dada zetu.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mke kasikia mumewe ambaye alikuwa safari akigonga mlango wa nyumba yao afunguliwe, naye alikuwa na bwana mbaya zaidi walikuwa wanaishi ghorofa ya kumi na nne, mdada mwasherati akamwambia...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom