Nawatakia Eid njema members wote wa chit-chat popote walipo,wengine wanasherekea leo na wengine kesho la muhimu nawatakia afya njema na furaha maishani mwenu.
Kama mahari zitabaki kuwa hivi sijui kama vijana tutaoa, Ulete:
1. Kitanda futi 6
2. DVD player
3.Kabati la nguo
4. Friji
5.Dressing table 6.Rice cooker
7. TV flat screen nchi 32
8.Pasi ya...
SWAGA ZA WADADA ZETU ILI WAONEKANE NAO WAMO HASA WAKITOKA USWAZI WAKAWA WAMENDA OUT MITAA YA USHUANI;;;
1.Halima muhudumu naomba unilete salad ya moto, na chupa ya Amarula.
2.Chausiku ..nipe...
Ilikuwa usiku wa manane,
mtu na mkewe walikuwa
wamelala usingizi, ghafla
wakasikia mtu anagonga
mlango. Mume akaamka
na kufungua mlango;
MUME : Vipi tena usiku
huu? MLEVI : Samahani
mzee...
Jamaa mmoja alienda kutoa fedha ATM usiku ila kwa bahati mbaya kadi yake ikamezwa na hela hakupata; akaamua kumuambia mlinzi ili amsaidie
Jamaa: sorry bro, nilikosea PIN kadi yangu imezuiliwa...
Uchelewapo kurudi nyumbani moyo hunidunda dunda
Penzi lako limenifanya nijihisi kama niko mbingu ya tatu
Naamini daima nitalilinda penzi lako
Nakupenda sana ewe waridi wa moyo wangu
I love you...
Zinapigwa Kelele alafu Baadae Kimya linaanza jambo jipya Duh watz sisi Tumerogwa au
EPA
RIchmonD
RaDa
Milipuko ya Mabomu
Kuanguka kwa Maghorofa
Kupanda kwa Nauli
Kung'olewa Kucha
Lipo...
1. Kitambi Mvurugo -- hiki kitambi kimekaa kama O. Kinapatikana kwa kula sana kitimoto.
2. Kitambi Mchuchumio -- hiki kitambi kimekaa kama herufi D. Kinatokana na kula sana michemsho na bia za...
1. Kinyozi maarufu ofisi yake ni chini ya mti
Heheh...najua wengi hamuwezi amini lakini pengine kinyozi wetu afahamikaye kwa jina la Bwana Makorokocho ndiye anayeongoza kwa kuwa na mkazi mkubwaaa...
Dogo mmoja alienda kujumua miwa kijiji cha mbali kidogo.Alichelewa kurudi nyumbani ivo ikabidi akalale kwa shangazi yake kijiji jirani.
Shangazi yake na mumewe walikuwa wanaishi chumba single tu...
Mualiko wa eid!!
Nakualika uje wewe na rafiki yako katika sikukuu ya EID nyumbani kwetu, nakutegemea kama rafiki wa karibu. Panda gari la gongo la mboto shuka gongo la mboto mwisho alafu chukua...
vuta Picha Kuna Babu Alileta Habar za Hapa Na Pale Mkazinguana Akasema Ipo siku Atakupata... leo Wakat Unarudi Home Ndo Unakutana Nae Hapa~...... utafanya Nn???
I urgently needed a few days off work, but I knew the Boss would not allow me to take leave. I thought that maybe if I acted CRAZY then he would tell me to take a fewdays off. So, I hung upside...
Ingawa inaaminika siku hizi waowaji hawapo ila nawapa big up wale wote walitimiza tukio/tendo hili adhimu la kufunga ndoa, sitaki niulizwe kama nimepitia hii kitu au la, ila kwa hisani ya my waifu...
Wapendwa habari ya Eid... mwenzenu kwangu haijakaa njema sana ,nina maumivu, jana jioni si nikaenda zangu kufanya booking ya chumba ili Eid hii tukajifungie na "mupenzi" Zahara white... kila guest...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.