Jamaa: Hello mrembo, samahani, una
mpenzi?
Binti: Hapana. Sina mpenzi.
Jamaa: Kitabu cha Mwanzo 2: 18 "Bwana
Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe
peke yake, nitamfanyia msaidizi wa
kufanana naye."...
wanaJF hizi ni hisia zangu juu ya huyu mtoto Elizabeth Michael" LULU"
My lv iz brilliant, my lv iz Pure!!
Siku zote nionapo picha yake, nisikiapo jina lake moyo wangu hupatwa na mshitiko mkubwa...
Umeitwa shaurini juu ya kadhia ya familia hii.
Baba amehonga mtaji wote wa familia.
Mama amepigwa mimba na fundi charahani aliepanga ubaraza wa kushonea mbele ya nyumba ya familia.
Kijana...
Ni cheupe kama barafu na ni cheusi kama giza, kuliwa ni haramu na kunywa ni halali. Kina herufi tano na kinaanza na herufi ''M'', kinatumiwa na wanaume mara tatu kwa siku na kinatumiwa na...
Hili ni swali nalokutana nalo kila siku napoongea na Wakenya katika mihangaiko yangu hapa Nairobi.Hivi huko Bongo mkikutana na Wakenya huwa mnawauliza nini?
Nipo hapa Natural Heritage iliyopo...
Baada ya kubanwa na nenge kali jamaa akaingia mgahawani akamwita mhudumu,
Mhudumu: Nikusaidie nini kaka?
Jamaa: Nletee chipsi kaki na mishkavu miwili, usisahau na panta fashen tafadhali.
Mhudum...
Wapendwa, mnisaidie! Mimi ni mshabiki wa wanawake wenye sura bomba shepu kali na makalio makubwa. Nimewagegeda wengi wa hivi. Sas nataka niulize maana najua wenzangu ni wengi humu. Hivi makalio ya...
wanaJF
hizi ni hisia zangu juu ya huyu mtoto Elizabeth Michael" LULU"
My lv iz brilliant, my lv iz Pure!!
Siku zote nionapo picha yake, nisikiapo jina lake moyo wangu hupatwa na mshitiko...
During a robbery in Guangzhou, China, the bank robber shouted to everyone in the
bank: "Don't move. The money belongs to the State. Your life belongs to you."
Everyone in the bank lay down...
Kutaka matokeo Makubwa bila watumishi wa chini kulipwa mshahara wa kuridhisha ambao ndo Ginuani, Ni kujidanganya huko Juu Mmejiongeza sie tuishie kupewa Oda tu
"Vox popoli Vox dei"
1. Kitambi Mvurugo -- Hiki kitambi kimekaa kama O. Kinapatikana kwa kula sana kitimoto.
2. Kitambi Mchuchumio -- Hiki kitambi kimekaa kama herufi D. Kinatokana na kula sana michemsho na bia za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.