Nimeamua kupita hapa leo nawasalimu Lizzy,Husninyo,King'asti,Sweetlady,Firstlady,The Boss,Figaniga,Bubu msemaovyo, The reverand Masanilo,Erick,na marafiki zangu wote wa enzi hizo za 09/10.
Kesho kuna uwezekano mkubwa wa kuwa na sikukuu mbili kwa mpigo, yaani Eid El Fitr pamoja na Nanenane.
Kwa wale wanaosherehekea Eid El Fitr kesho nawatakia EID MUBARAK!
Kwa wakulima wenzangu...
Habari zenu wana chit chat.
I hope wote ni wazima na mnaendelea vema na ujenzi wa taifa letu.
Kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu ilinipasa kupotea kwa muda lakini sasa nimerudi...
Ucheke kidogo uongeze siku za kuishi.
Baba: We mtoto hebu niletee soda...
Mtoto: Cola au Pepsi?
Baba: Pepsi.
Mtoto: Kopo au Chupa?
Baba: Kopo.
Mtoto: Baridi au moto?
baba: Baridi...
kama ni kipaji bas wengi hawana..
haswaa wazungu teh teh!
mtu usipooga kwa siku mbili afu unaishi dar inakuwaje aisee...
kuna binadamu wanaishi kwa nguvu za body spray...
hawapendi kuoga...
hey madame b na evelyne salt nataka kula na nyie bata kipindi hiki cha eid(iddi) , chagueni kiwanjaa cha kula na nyie bataa ntawakabidhi ATM CARD na password teh teh
Jamani huku matangazo mengi sana ya kutafuta mke/mume/mpenzi yamezidi.....
mimi nakuja kiroho safi kabisa kutafuta dada/kaka angalau na mimi nipate wa kumkimbilia kukitokea mabounsa....
nina...
Now niggas, I'm sending u out 4 an operation. But remember, rule number 1 is that when u r caught, you know nobody, you know nothing, you know nowhere (According to one facebook writer).
I'm...
"Jukwaa hili kuna kipindi linachangamka sana kuliko majukwaa mengine, na kunakipindi members wake hawaonekani kabisa"
Maji kujaa na kupwa ni mabadiliko ya uwiano wa bahari unaopanda na kushuka...
Sijui nitaanzia wapi Leo.
Nina moto sana na hii weekend.
Mashostito jamani tupigiane simu tu.
Yaani weekend hii balaa unajua sansiro ilifungwa kipindi cha Ramadhani, Maisha club na yenyewe...
A father went to get his son from school at the end of the term... After getting the report form, the boy had perfomed poorly...
When they were in a taxi going back home the father told the son "...
Hi jF,ebana mi kunakitu ambacho hata risearch yake bado inanitatiza heb naomba mnsaidie il nipatekuandika ripot ilyo kamilika.Juz kat nilisikia mazee wakisuluhisha ndoa ambayo ilkua karbu...
Familia moja ilishangazwa pale
walipopokea jeneza la marehemu
mama yao
aliyefariki nchini Marekani. Lilitumwa
na mmoja ya watoto wake wa kike.
Mwili ndani ya jeneza ulikuwa
umesongwa sana...
Comparisons..
Hapo ni Mama v akiwa na Mamndenyi wanapeleka watoto wao......
Na iyo ya chini nadhani ni Baba V akiwa na Mr Rocky wanawatoa "AUTI""
watoto wao....
1. Kunywa soda isiyofunguliwa yote au kutoboa kizibo ili isiishe
2. kwenda kwa jirani kuangalia sinema za kihindi wenyewe wanajidai hapo wanaanza na kaeni chini,au anaenda kugusa deki kwamba ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.