Happy birthday to you
Happy birthday to you
Happy birthday dear Erickb52
Happy birthday to you!!!
How old are you now
How old are you now
Happy birthday, happy birthday
Happy bitthday...
Wadau kutokana na haka kajimsimu kaubaridi maeneo mengi ya tanzania hususan hapa dar.
Kama ungepewa nafasi ya kutoka na mtu hapa jf ungemchagua nani??
Mim ningependa kuchomoka na mdada 1...
rafiki yangu ramadhani inamalizika kesho au keshokutwa ungenialika kuftarim au unahofia gharama mimi huwa silazima kula ftarim za gharama nikipata
Kuku wa kupaka
mchuzi wa rosti
sambus za nyama...
nimesikia kelele nyingi ati tuwataje, leo nawamensheni wote hapa,
1. Bishanga huyu anauza madawa maeneo ya nyaishozi tegeta, ukifika pale utaona bango limeandikwa B PHARMACY
2. Erickb52 huyu...
dah!!waungwana ivi ushawai kuamka na kuhisi kama kuna ka mziki kana zunguka kichwani kuazia asubui,yani leo kuna kanyimbo kana run kwenye ubongo wangu toka na amka...kanaimba, wasi wasi wa mapenzi...
Lara 1: Naomba kukufahamu, hilo tu! Nimefuatilia na nimesoma posts zako nyingi, na i dont knw..hii ya kuhusu yule jamaa...imeninanii kidogo! Waungwana wa JF nisaidieni nimfahamu huyu dada...
Habari zenu wana janv! Mimi kero yangu ni hii: unakuta uko na rafiki yako au hata wife anaongea na simu then from no where anakupa simu eti uongee na huyo mtu anayeongea naye kwenye simu BILA...
Mnipokee memba wa JF cc jukwaa la siasa,chitchat,Elimu,biashara,JLW,kwa ujumla wetu,nilikwenda kumchukua wife Korrogwe tuje TA mara moja alafu nirudi nikalinde Gas mtwara eeeeh
CC kibanga ampiga...
HAbarii mabibi na babwana.....haya bana ukipungiwa na wewe pungaa bana,napenda leo kuwapa sifa chache za wanaume wa ukweli na nyie mjazie.....1,mwaname wa ukweli anajua kujali[kuonga],2 mwanaume...
Nina gari kali sana, naona sina la kufanya zaidi ya kumtunuku mrembo.
Ningewapa wazazi wangu kijijini, lakini kijijini kwetu kwa uchawi ni balaa.
Ukiwa na nyumba ya bati, lazima mpukutike ukoo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.