sioni
Senior Member
- Jan 13, 2012
- 123
- 68
Lara 1: Naomba kukufahamu, hilo tu! Nimefuatilia na nimesoma posts zako nyingi, na i dont knw..hii ya kuhusu yule jamaa...imeninanii kidogo! Waungwana wa JF nisaidieni nimfahamu huyu dada, nifahamisheni before its too late, pengine naweza kubahatika! NB: Kila alichokuwa anatushauri sisi wanaume naona kama vile alikuwa anaongea nami...sasa naombeni mnisaidie niseme naye jamani kabla hajaruka. Pliiz