Lara 1 : Naomba kukufahamu, hilo tu! Wana JF nifahamisheni kuhusu huyu dada

Lara 1 : Naomba kukufahamu, hilo tu! Wana JF nifahamisheni kuhusu huyu dada

shaka ondoa mi sidhani we unania mbaya ongea nae pm tu kama hapa unaogopa kutolewa makucha sio watu wote ni wema si unaona washamkorofisha lara 1

Thank you shansarie! Acha nijifungie naye kule P! Nikiyanyoosha nitarudi hapa ili macho yawatoke vizuri. Wamenikasirishia lara 1 wangu!
 
Amejenga vipi wacha kupinda maneno, herufi ni tatu tu I LOVE YOU. finish....

Kuliko bakia sasa unatakiwa usome Biblia kitabu cha Mithali kitakupa mwongozo mzuri sana na ndio utazijuwa hekima za Suleiman.

..I LOVE YOU, I LOVE YOU, I LOVE YOU.....Dah ila naona kama haya maneno yanatumiwa sana kiuchakachuaji. Mi nina jinsi yangu ya kuyatamka nikijumlisha na matendo najua lara 1 wangu atanielewa.
 
Thank you shansarie! Acha nijifungie naye kule P! Nikiyanyoosha nitarudi hapa ili macho yawatoke vizuri. Wamenikasirishia lara 1 wangu!

we nenda pm kayamalize hapa wanga wengi watakupeperushia ndege wako bure
 
Back
Top Bottom