HAHAHAAAAAA! I understand your noble intentions za kunifahamu! Ila kwa kuanzisha thread wanitafutia balaaaa! Watu wataanza kunijungua hapa balaaaa!
In short im just a nobody with a tongue trying to channel my thoughts, views, and experiences to the society to bring in the change i want to see via JF. Always trying to make the world a better place to live in no matter what the cost is. (It has already costed me my reputation, i don't what else it will cost me, but i ain't quitting!) Thats me!:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
Lara 1: Naomba kukufahamu, hilo tu! Nimefuatilia na nimesoma posts zako nyingi, na i dont knw..hii ya kuhusu yule jamaa...imeninanii kidogo! Waungwana wa JF nisaidieni nimfahamu huyu dada, nifahamisheni before its too late, pengine naweza kubahatika! NB: Kila alichokuwa anatushauri sisi wanaume naona kama vile alikuwa anaongea nami...sasa naombeni mnisaidie niseme naye jamani kabla hajaruka. Pliiz
JAMANI WAACHE WATU WAPENDANE HADHARANI........
Source; Toria.......

Unataka kumfahamu ama unataka kumtongoza? Kuwa straighy basi! Domo zege haikubaliki
Ila kama unamtaka, sijui utaanzia wapi maana mie namuogopa kupitia thread zake tu! Jipange sawa sawa asije akakushinda, na ukimpata njoo hapa utuambie! Nitafurahije kusika Lala 1 kapata kiboko yake? Pengine ataanza kuandika hata thread za heshima dhidi yetu wanaume, labda ataanza kuaogopa na hata kuwasifia wanaume, maana kazidi,,,!Lara 1: Naomba kukufahamu, hilo tu! Nimefuatilia na nimesoma posts zako nyingi, na i dont knw..hii ya kuhusu yule jamaa...imeninanii kidogo! Waungwana wa JF nisaidieni nimfahamu huyu dada, nifahamisheni before its too late, pengine naweza kubahatika! NB: Kila alichokuwa anatushauri sisi wanaume naona kama vile alikuwa anaongea nami...sasa naombeni mnisaidie niseme naye jamani kabla hajaruka. Pliiz
Umejipanga?
ni kweli maana lara 1 atampa list kama kwa mganga!
haahaahaa! List ya nin mkuu We mchokoz wewe! Loh!
HAHAHAAAAAA! I understand your noble intentions za kunifahamu! Ila kwa kuanzisha thread wanitafutia balaaaa! Watu wataanza kunijungua hapa balaaaa!
In short im just a nobody with a tongue trying to channel my thoughts, views, and experiences to the society to bring in the change i want to see via JF. Always trying to make the world a better place to live in no matter what the cost is. (It has already costed me my reputation, i don't what else it will cost me, but i ain't quitting!) Thats me!:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
wewe humjui lara 1 nini? anatamani aolewe na mtu anayetembea hewani eti!