Lara 1 : Naomba kukufahamu, hilo tu! Wana JF nifahamisheni kuhusu huyu dada

Lara 1 : Naomba kukufahamu, hilo tu! Wana JF nifahamisheni kuhusu huyu dada

sioni,
nenda polepole lakini;

Mamndenyi unajua nilikuwa kimya mda mrefu nikiwa namuwaza huyu dada kila naposoma uzi wake, huku navuta hisia! Taratibu naona nimetumbukia sasa...nikienda taratibu ntafika kweli? maana kuna yule jamaa aliyemzungumzia kuwa anataka kufanya maamuzi. Nawaza kum-PM ila nataka kwanza mawazo yenu ili nikienda huko angalau niwe na confidence maana hiki kifaa si mchezo bana! Kichwa kizuri. Hayo mengine kama yapo na jinsi alivyo muelewa sidhani kama tutashindwana
 
lara 1 njoo pande hii tafadhali. Kuna njemba yataka semezana nawe

hekimatele, nisaidie ndugu yako! Kuongea na huyu dada inahitaji ujasiri, tumia hekima zako nivike ujasiri. Kila nikitaka kum PM mikono inalegea!
 
Lara1, useme tena hizi bahati za wageni hazijakujia.

Aaah "mtoto halali na hela", lara 1 ni bidhaa adimu kwangu. Kwake hii angeihesabu kama bahati kwangu nitaihesabu kama nini? Nisaidie basi anione hivyo? Bado sijaenda PM nakusanya maoni
 
Ila kama unamtaka, sijui utaanzia wapi maana mie namuogopa kupitia thread zake tu! Jipange sawa sawa asije akakushinda, na ukimpata njoo hapa utuambie! Nitafurahije kusika Lala 1 kapata kiboko yake? Pengine ataanza kuandika hata thread za heshima dhidi yetu wanaume, labda ataanza kuaogopa na hata kuwasifia wanaume, maana kazidi,,,!

Ni zaidi ya kumtaka! Niseme naona mbele zaidi ya hapo kupitia yeye! Ila posts zake zinawafundisha wengi hapa pia. Natafuta namna anikubali tu kama rafiki halafu taratibu najua nitakuwa a blessed man! Pray for me!
 
Unazo hizi $$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$
Mikono mitupu ailabwi kwa huyo.
Elezea kwanza wasifu wako


DOO sio tatizo kwangu!! Pia kwa kumsoma lara 1 sidhani kama nimtu wa hivyo sana, na kuna zaidi wanawake wanachotaka zaidi ya DOO. Kama ikiwa ni $$ peke yake kwake kwani mbaya nini baya ntahudumia ilimradi najua mepata kitu nachokipenda.
 
Unaomba kumfahamu personal then unakuja kujaza thread tu hapa,,,au kwenye simu yako au Computer hakuna sehemu ya PM?

Wewe nadhani humfahamu lara 1, na kama unamheshimu mtu huwezi tu kwenda nyumbani kwao bila kujua taratibu za kwao! Wako waungwana wameshanipa taratibu za kuingia nyumbani kwa lara 1. Sitaki kubahatisha ndugu yako niko serious.
 
hekimatele, nisaidie ndugu yako! Kuongea na huyu dada inahitaji ujasiri, tumia hekima zako nivike ujasiri. Kila nikitaka kum PM mikono inalegea!

Tulia tu atakuja. Usiwe na nchecheto yakheeee.
Wahenga wanasema Filu Filala ..............
 
Unataka kumfahamu ama unataka kumtongoza? Kuwa straighy basi! Domo zege haikubaliki

Domo zege? au vidole vizito? ...anyway...Mbele ya lara 1, nakiri ( vidole vimekuwa vizito). Wanaotongoza bila kufahamiana wanakuwa hawana udhati..! Hata hujui anaitikaje salamu we unakurupuka tu? Kuna kung'olewa kucha na meno pia ukikosea eneo
 
Yani hadi kutongoza mnataka tuwafundishe?
AshaDii hebu njoo umfundishe huyu dogo namna ya kutongoza, kwa niaba ya Matola naomba utuwekee hapa lililithread namna ya kutongoza.

Matola ndugu yako najua sana ila kwa jinsi lara 1 alivyojengeka kichwani na moyoni mwangu sitaki kukurupuka!
 
Matola ndugu yako najua sana ila kwa jinsi lara 1 alivyojengeka kichwani na moyoni mwangu sitaki kukurupuka!
Amejenga vipi wacha kupinda maneno, herufi ni tatu tu I LOVE YOU. finish....

Kuliko bakia sasa unatakiwa usome Biblia kitabu cha Mithali kitakupa mwongozo mzuri sana na ndio utazijuwa hekima za Suleiman.
 
lara 1: Pole kwa hayo, achana nao hao wasikuumize kichwa wala kukutia hasira, tunafaidi mengi toka kwako hapa JF, jua hilo! Nami niko nyuma yako always! ukishindwa (japo sitarajii) niite nije kusaidia.

Mamndenyi, Kaunga, Shansarie etc...nimeanza vibaya hapa?LOOH

shaka ondoa mi sidhani we unania mbaya ongea nae pm tu kama hapa unaogopa kutolewa makucha sio watu wote ni wema si unaona washamkorofisha lara 1
 
Last edited by a moderator:
lara 1: Pole kwa hayo, achana nao hao wasikuumize kichwa wala kukutia hasira, tunafaidi mengi toka kwako hapa JF, jua hilo! Nami niko nyuma yako always! ukishindwa (japo sitarajii) niite nije kusaidia.

Mamndenyi, Kaunga, Shansarie etc...nimeanza vibaya hapa?LOOH

I can see determination; lakini fanya iwe genuine.
Hakuna kitu nakubali kama mtu ninaye mpenda akinisupport (on my side) mbele za watu hata kama nimechemsha; then pembeni ndio anishushue.
Good start man!
 
Back
Top Bottom