Boss mmoja katangaza nafasi za ajira kwa kazi ya secretary. mabinti kibao wame-apply na muda wa interview umefika
boss: mwanamke ana lips sehemu mbili,hebu nambieni tofauti ya lips hizo
binti 1...
HIVI BADO KINA MAYASA WOMO HUMU...UNAKUTA DADA KAJIREMBA KAWEKA DOTI LA WANJA KATIKATI YA KOPE ZA MACHO,KAPIGA GAUNI LA MARINDA MARINDA VIATU VYA KOKONKO NA MKANDA WA KIPEPEO JUU KACHANA AFRO...
Habari zenu wanajamvi wenzangu humu mjengoni
Nimekaa nimetafakari, nimejiuliza na kujijibu mwenyewe ila nimeshindwa kupata jibu
litakaloniwezesha kukidhi haja ya moyo wangu. Niliyoyaona humu...
Who would you say is the DUMBEST among the following Nigerian tribes men?
1. HAUSA man who removed his shoes to enter a taxi......
2. IGBO man who went to the bank with a spanner...
habari za asubuhi wana jf wote?! nchini kenya imeripotiwa mama mmoja ameichoma moto nyumba aliyokuwa akiishi akiwa na watoto wake ndani kwa sababu ya kuachwa na mume wake,mama amesema aliamua...
ZIFUATAZO NI ADHABU
ZITOLEWAZO KWA UVUNJAJI WA
SHERIA ZA CHAMA CHA WANYWAJI
POMBE: 1. Kosa la kumtoroka mlevi
mwenzako kwenye Bar Jela
miezi tisa.
2. Kuacha kunywa pombe na
fedha unazo ...
Jamani, kwa wale jamaa zangu ambao huwa hawapitwi na kitu machoni kuweni makini, soma hii
A young man goes into a pharmacy and says to the pharmacist, "Hello, could you give me some condoms...
Denti kakaa kwenye dala dala anaandika sms kwenye simu yake, huku kashika kibegi chake cha shule.
Mzee mmoja pembeni akawa anakomaa kuangalia dogo anaandika nini, macho yanamuwasha kwa UMBEA...
Mama: Mwanangu hebu mpigie
simu baba yako mwambie
chakula tayari
Mtoto: Sawa mama
Mtoto: Mama simpati
Mama: Bac subir kama baada ya
dakika tano mpigie tena
inawezekana ni mambo ya
network hayo...
Jamaa momoja jina kapuni juzi alikutwa pale didz akipata kinywaji chake mara akaingia jamaaa mmoja Mhaya nadhani walikuwa wanafahamiana huyu jamaa aliyekutwa didz alikuwa akinywa kinywaji cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.