Habari ndio hiyo.
Na umbea ndio huo.
Msiniulize habari hizi nimezipata wapi ila kaeni mjue tu.
Kama haikuhusu,potezea.
Harusi October 25.
Wa mjini twajuana.
This is what is happening in Kenya
a teacher in a class.
TEACHER: class 1+1 is?
CLASS: 11
TEACHER: Correct, name two types of coffee.
CLASS: Kofi annan and Kofi olemide.
TEACHER: Correct...
Mabadiliko ya tabia na mwenendo wa wanadamu kila uchao, je utandawazi ndo unatuathiri ama ni hisia za mtu kupandisha/kumsha mori?
Kizazi kilichokaidi maadili ya kiafrica, hapo kale ilikuwa ni...
Niaje!!!!!!
Ndugu yenu mie nataka kujua kama kuna umri halisi wa kuanza kumiliki gari la kutembelea(sio pickup wala gari ya biashara)kwa mwanaume na mwanamke,kama zipo jee sababu za msingi za...
Kwa miaka sasa wazazi wamekuwa wakiwapa watoto wao majina kama;
sikujua
sikuzani,
Matatizo,
havinitishi
Muungano,
Majaliwa,
Subira,
Wema,
Baraka.
Taarifa zinasema neno la MAJANGA lipo karibu...
Unafikiri nakutania,
Ukijaribu tu kumtukana yule jamaa wa magogoni humu jamvini umepigwa ban
ukijaribu tu kumsema vibaya yule mwanzilishi wa m-pesa umepigwa ban
ukijaribu tu ...........
Jubilee closed door meeting (Leaked)
Topics: ada wear, mabo, sasa, sita, zuma
I have just attended a closed-door meeting where plans for the BIG UHURUTO BASH PARTY were being discussed. All...
Kutokana na kutokuwepo kwako kwenye jamvi kwa muda mrefu, wanachama wa JAMII FORUMS tumeitisha mchango ili kukunulia Blackberry mpya kabisa ili uweze kupata mambo na uhondo kutoka kwenye forum...
Hayawi hayawi yamekuwa!
Mapenzi ya dhati yana vituko sana jamani, naweza kufananisha na ile hali ya mwanamke mjamzito! ndivyo nilivyokuwa nateseka muda wote! Lakini hatimae nimetulia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.