Well, nimewaza niwafanye nini wadada wa JF ambacho watanishukuru na kunikumbuka milele. Nikapata jibu.
Mimi kiuchumi nipo vizuri. Sina shida ndogo ndogo maisha yangu ni uchumi wa juu wa kati...
Habarini wana Jamii Forums Leo nimekuja na hoja kama ilivyo apo kwenye title.
Tunajua Tanzania kuna misemo mingi ilishawahi kutokea na hivi sasa kuna misemo ndio Inavuma 'WAJUMBE na USINIFOKEE'...
1. CHOKED PROF
A man named Daniel Du Toit was giving a lecture to his students about death and warned his students that death could strike anyone at any time. He then took an innocent, little...
Wakulungwa,
Hivi serious unatoka unaenda agiza serengeti lite/castle lite/kilimanjaro lite na zingine zinazofanana na hizo?
Kweli?
Kweli?
Kweli?
Hata kama pesa ni yako, hizi lite si sawa na maji...
Usiri wetu unapelekea kimya cha baadhi ya members ambao hatujui waliishia wapi?
Walifanya vizuri kwa muda mfano Mpembawise wa kimasihara
Swali kwako kunamtu anakujua ukikata moto chap atoe...
Wakuu,
Kila mtu ana ladha yake kwenye kuweka muito wa simu(ringtone),wengine hutumia ringtone zilizokuja na simu na wengine hutumia(local ringtone)yaani ile miziki alizohifadhi kwenye simu yake...
UMRI NA PHONEBOOK/CONTACTS
A. MIAKA 17-19
1. Teacher wa History
2. Mwal Tuition
3. Boda Shule
4. Mkaka wa Chips
5. Baba, mama etc
B. MIAKA 20-25
1. Baby...
Ni muda mrefu sasa natamani nipate mtu wa kuongea naye,nipate wasaa wa kubadilishana mawazo na nimwambie historia ya maisha yangu kwa ujumla kule nilikotoka,niliyopitia, nilipo na changamoto...
Hellow african
wote tuna simu wote tuna marafiki na wote tuna marafiki tofauti
Je mara mwisho kusave namba mpaya ambayo ni muhimu sana ni lini?
Au bado unasave namba ya single mother na videmu...
Mimi naishi na familia yangu tumepanga, basi bhana jirani yetu ni handsome sana ila mkorofi na mchungu but anapendeza sana .
Siku Moja alinikuta na mwanaume best yangu akawa Hana amani amezoea...
Je, mnakumbuka wakati ule ukitaka kujua saa ngapi, unanyanyua simu yako na kuzungusha number na kusikia sauti ikikujibu "Usikiapo mlio wa tingo, hii ni saa fulani dakila fulani na sekunde fulani"...
Wadada, msijirahisishe hivyo
Kuna Mdada aged around 25, usiku huu simjui hanijui, kaning'aninia nimuoe ni mmarangu ana watoto wawili,
Anataka nimuoe tu, Nimechukua namba zake Ila mpaka muda huu...
• Mtoto wa kiume unasuka bado unapanda daladala we ni hanifha.
• Unapaka brich afu unapanda daladala we ni kichaa unayejitambua kidogo.
• We una kitambi /mnene bonge nyanya afu bado unapanda...
Natafta mchumba [emoji23]
Au Basi natafta HELA wanangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
What will you do? If you notice the breath you...