JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Greetings wapendwa Hii ni kutoka ndani ya moyo, kiukweli nimekumis mno Erickb52 beibe hata wanaokwenda vitani hawachelewi kiasi hicho. Kila siku unasema utarudi nasubiri kuanzia asubuhi mpaka...
7 Reactions
55 Replies
3K Views
Jamani habari zenu. Naandika poat hii mikono ikitetemeka yasije yakanitokea yale yaliyonitokea kwa Mwanamalundi. Huyu dada yetu afrodenzi mbona haonekani kabisa kwa muda mrefu? Nakumbuka sana pale...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Katika mikakati inayopangwa chini chini ndani ya Chadema kama serikali haitaifumua basi 2015 utakuwa mwisho wa CCM na serikali yake yani CCM itapoteza yote urais wa Tanzania na Urais wa Tanganyika...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
napenda kuuliza ni kweli kuwa kuna utaratibu unaombana Presidn kumpa ujauzito mkewa? Mi sijawah kuona..wala kusikia mke wa Rais fulan yu mjamzito, Kuna nini napenda kufahamu tu,
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Nimeaua kuchukuwa kadi ya CCM ili nianze rasmi UFISADI. Najua bila kuwa mwanachama naweza kwenda kunyea debe kwa urahisi zaidi. Siwezi kuendelea kuwa mstari wa mbele katika vita dhidi ya UFISADI...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wana JF,mnaonaje viongozi wangenunuliwa na kuuzwa kwa mkopo kama kwenye mchezo wa mpira? viongozi gani unadhani wangeuzwa nje kwa mkopo na wengine kununuliwa kuinua hali ya sasa ya kiuchumi? wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Upo beach unaogelea ikatokea watu wawili wanahitaji uwaokoe kutoka ndani ya maji ila kati ya hao mmoja unampenda ila yeye hakupend na mwingine anakupenda ila ww haumpend je? Yupi ungeanza nae hapo?
0 Reactions
1 Replies
802 Views
Mme alikuwa amekaa na mkewe kitandani baada ya kazi ngumu kumalizika,Mkewe akamwambia ahsante mme wangu kwa penzi tamu,mume akajibu "SI WEWE MKE WANGU UNAYENISIFIA ,WATU WENGI TU WANANISIFIA"Je...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Me ni kijana mtanashati na ni mzima[rijali] sipigi puli, ila nnayo tatizo kukaa tu na dem dakika mbili nashindwa nisemeje japo nkiwa gheto na-act kama namtokea and the grama goes well lakini nkija...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Kuna Shehe flan katika pitapita zake kitaa, alikutana na bonge la duu njiani, gafla shehe akajikuta keshampa 'hi', akajibiwa 'hi', zen kwa mshangao shehe akaropoka "Dada yangu maashallah Mungu...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
je ni sahihi kumpiga search mumeo au bwana ako, kwa suruali au wallet?
0 Reactions
0 Replies
712 Views
Yaani taifa hili limefikia hapa, tumeanzisha kabisa shirika la taifa kwa ajili ya uchafu huu, laana ya usagaji italitafuna taifa hii. Tuungane kupinga uwepo wa National Milling Coorporation.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
1. Blackberry = Attention seeker 2. Sony = Misunderstood 3. Apple iPhone = Classy 4. Nokia = Very loyal 5. LG = Loner, kinda boring 6. Samsung = All about style 7. Motorola = Old school 8. HTC =...
9 Reactions
81 Replies
7K Views
haya haya asiye na mwana aeleke jiwe Bishanga hana mke leo ana mtoto Mamndenyi njoo na kengele ya watoto unibembeleze leo nimekuachia mume kwa muda nilee vizuri kwa siku ya leo ndo kuzaliwa kwangu
6 Reactions
42 Replies
2K Views
Habari wanajf,natumaini mu wazma wa afya mimi ni mwanaume mwenye miaka 26 npo dar,ni mrefu wa maji ya kunde,elimu ya chuo,mkristo,natafuta msichana wakuanza nae relatioship/mahusiano awe mrefu...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Natumai muwazima jamii yetu ya Jamboforums
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Duh... jamani muda huu ndio nakumbuka kuwa leo ni siku yangu ya kuzaliwa.... Namshukuru mungu kwa kunijaalia afya njema na umri huu nilifikia leo.
4 Reactions
47 Replies
5K Views
mausinhizi ambayo yanasababishwa na alcohol nimabaya, yaan alcohol ikikata tu, na usingizi kwao. Tangu saa kumi nimebakii narandaranda tu kwenye forums humu JF na hauna dalili za kurudi hata...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Mke alimpa mumewe radio aende nayo choon ili imliwaze kwa vile huwa anakaa muda mrefu choon.Alipotoka akaulizwa MKE:Ehe! vp my love,uli-enjoy? MUME: Aah! wajinga hawa, wameweka wimbo wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamaa kaingia kwa kinyozi na mtoto,akaomba anyolewe nywele na ndevu. Alipomaliziwa akasema mtoto pia anyolewe,akaaga kuwa anaenda dukani kumnunulia mtoto viatu. Masaa matatu yakapita...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom