To spend time is to pass it in a specified manner. To waste time is to expend it thoughtlessly or carelessly. We all have time to spend or waste, and it is our decision what to do with it. But...
Mambo ndio mambo summer party watu kibao,mi mwenyewe ndio mchomanyama hakuna wali wal mchuuzi hiyo party.kwenye pamba kila mtu kajipigigilia za kufa mtu.mimi mwenyewe nimekula simpo tu kitalii...
My akanana Passion Lady happy birthday.
Mungu akuongezee miaka mia moja ya kuishi yenye baraka na furaha tele.
Nimekuandalia zawadi ya ndizi na kahawa.
happy birthday, happy birthday, happy...
^^
Najitokeza humu,,kwa wana CC nikwa nimebebelea zawadi nzuri kwa CC lady mwenye avatar inayokubaliwa na wengi
Unajitokeza unataja jina Mi kazi yangu ni kuhesabu yule ataewazidi wote
Kampeni...
Happy Birthday my Dear Friend Buswelu...
May you have a very special Birthday filled with everything your heart desires and may all your Dreams come true!
Love, Peace and Happiness always...
Kwa kawaida Rais akitembelea katika nje ya nchi,nchi husika aliyoitembelea uchukua jukumu la kusimamia ulinzi sasa je hawa wamarekani na hizi tahadhali kutoka washingtone inamaana anakuja...
jamaaa mmoja alikuwa kaketi kwake anachek mpira ,bac si muda kamjia mkewee ,akamwambia mume wangu hebuu itengezee hiyoo
taa hapo sebuleni imeharibika,mume kwa hasira akamwambia mie nachek mpira...
Wandugu,leo nilikuwa nikipita pita katika mitaa ya jiji la Kijani,mitaa ya Uhindini.
Katika kutembea,nikakutana na mama omba omba,amevalia nadhifu kiasi;na anaonekana ni mlemavu wa macho(asiye...
Wakati huku kwetu mtu anaweza kumaliza zaidi ya wiki mbili kumfuatialia demu vidume vya Zimbabwe vinakula kulainii baada ya kuibuka neema ya wimbi la wanawake wabakaji. Source: bbcswahili.com
Hi guyz, an a gal aged25 nyamwez frm Tabora Tanzania. Am searchng for a friend frm any place bt aged frm28-60. Any tribe bt not makonde, mwera, yao. U are warmly welcome.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.