JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mke:Eti sweet nimetokeaje na hizi nguo leo mume:Umetokea tan c/ sin c mke: mbona sikuelewi jaman mume:yaan namaanisha tan c/sin c mke:basi naondoka zangu unaniudhi! Mume: tan c=sin c/cos c...
2 Reactions
5 Replies
8K Views
Habari marafiki zangu; Nimeona nitoe list ya watakayoshiriki kwenye kinyang'anyiro cha kumtafuta Mtunzi bora, Mwimbaji bora na Wimbo bora unaosifia ChitChat zaidi hakuna mfano, hivyo...
4 Reactions
56 Replies
3K Views
She : dad I m in love with a boy who is far away from me. I m in Kenya and he lives in uk. We met on a dating website, Became friends on fb, Had long chats on whatsapp, Proposed each other on...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Utafiti unaonyesha kuwa wanawake wengi hawasafishi majiji,hii inasababisha wakati obama akitaka kupita anakutana na takataka nyingi hasa msitu yenye harufu kali sana,wengine misitu hiyo yapata...
1 Reactions
45 Replies
3K Views
mama jeni walikuwa wanaishi jirani kijana mmoja ambaye anaitwa john ambaye alikuwa kipofu kila siku alikuwa anakuja wanapiga stori .siku moja wakati ma.jenn anaoga akasikia mtu anagonga kufungua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF baba yangu kipenzi amefariki naomba maombi. Atapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele kesho tarehe 18 Juni 2013. Makaburi ya zamani Kinondoni saa 10 jioni. Baba V, KOKUTONA, Arushaone...
14 Reactions
125 Replies
9K Views
Naomba kuuliza kuna haja ya serikali kutoza kodi wale wote wenye makalio makbwa na HIPS kupunguza kasi ya matumizi ya Dawa za kichina. Kuongeza ukuuaji wa KIUCHUMI TZ.
0 Reactions
24 Replies
4K Views
^^ Nianze kwa kushukuru kila mmoja aliyeshiriki katika uendeshaji wa zoezi zima la kumtafuta mrembo mwenye avatar yenye mvuto katika madada wa Chit Chat..Mheshimiwa Baba V pamoja na wageni...
5 Reactions
72 Replies
4K Views
Leo tuna msiba ktk familia ya kijaluo hapa mtaani kwetu, sasa wakati mwili wa marehemu unafikishwa nyumbani toka mochwali, hawa wahaya wamekuwa wakishangilia style ya kufurahia goli huku wenzao...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Binti aliyetoroka kijijini kwao arejea baada ya miaka kumi; Baba:We mtoto ulipotelea wapi,unajua ulimtesa sana mama yako? Binti:Nilikuwa nafanya kazi ya umalaya Marekani Baba:Mshenzi mkubwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
....... Kutana na wataalamu waliobobea katika kurudisha heshima za ndoa za watu na kuwakomesha wezi wa wake za watu kwa utaalamu wa hali ya juu. .....Majukumu yake 1.Kukamata wagoni wote...
0 Reactions
50 Replies
3K Views
unajua nimekuwa nikifuatilia malav dav ya kila cku humu jf na jinswatu wanavyozichapa kwa ajili ya madem huku hakuna hata moja aliyejitokeza kumtaka FaizaFoxy, kwa kuwa mim nabahat ya kuwajua weng...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Kama bao lingekuwa na mlio wa bunduki unadhani nini kingetokea? Ukizingatia mida ya usiku mitaa yote ndo biashara ifanyikayo? Kwa hapa DAR tungekuwa tumeshakuwa viziwi..ni miungurumo masaa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nina kama miezi minne hv mtoto wangu ananisumbua kuhusu hii kitu anataka movies au something animated ananipigia story ambazo nashindwa kuziconnect naomba mnisaidie jamani ni nn hii? Is it a...
1 Reactions
79 Replies
9K Views
Mimi naona kuhusu huu ugeni tulionao,hapa mjini patakua busy sana,ushauri wangu ni huu,tufanye kazi mpaka juma pili,ten j,3 na j,4 tupumzike ili kupisha huu ugeni.Nawasilisha.
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamaa wamevamia benki kuiba, mkubwa wao akawaambia wateja wote na wafanyakazi ndani ya benki: Laleni chini na kila mtu atulie jinsi alivyo. Hela ni mali ya serikali, uhai ni mali ya Mungu...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Lakini laiti tungechukua muda na kumfikiria binaadam alivyo leo kisha tufikirie alivyokuwa (wazo) binaadam kabla ya kuwa binaadam lazima utauogopa uwezo wa aliyemuwaza binaadam kabla ya hali ya...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom