Baba bahili kwa hela ni noma
Mtoto: Mama nimemuomba baba hela ya kusuka..kaninyoa kipara..
Mama: Una bahati mwanangu ungemuomba whitedent angekung'oa meno yote.
Mtoto: Duh! Je nikimuomba hela...
Bandari Salama
Dar es Salaam yaleo, ndiyo Bandari Salama,
Myaka mingi hadi leo, mji wenye usalama,
Mji wa maendeleo, mji wa walikwa nyama,
Karibuni ni walimwengu, mwone Bandari Salama...
Jamaa kenda kwenye interview. Alipofika akambiwa "wait please" Jamaa akajibu " 75 kg Sir" Wakaona Lugha Gongana haipandi Wakamuuliza Ushawahi kufika Chuo Kikuu Chochote? Akasema Ndio naenda sana...
Walikutana madoctor wa China,Ujerumani,Tz,. kuelezea mafanikio walioyafikia ktk nchi Zao. Dr wa Ujerumani akasema "kwetu alizaliwa mtoto hana miguu tukamwekea ya bandia sasa ni mwanariadha na ana...
· Umbea ni kawaida na hauzuiliki, tatizo ni yaliyomo ndani ya umbea ambayo mara nyingi hutegemea na mawazo mtu aliyonayo. Kama ana mawazo hasi, ataongea mambo mabaya
Kama hujui, wanaume...
One source at Spain reported:
Higuain has flown to London.
Another one at London said:
Arsenal officials have flown to Spain to final the deal.
Third one somewhere captioned:
It's a Done...
Watu Wangu nitumie namba ya NELSON MANDELA,nataka nimwambie akienda asisahau kumwambia swahiba wake bwana NYERERE kwamba matoto yake ya CCM nchi imewashinda.
Waswahili walisema ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni na leo kama sio kustaajabu ya Musa basi nimeyashayaona ya firauni. Umeshawahi kuona au kusikia mtu akifanya mapenzi na godoro? Basi kama...
Kuwa wapo outing na hujaalalisha ndoa yao wala taarifa huna?amekuwa msaliti kwa wakeze mpaka wameanza kuomba na kulialia barabarani jana nimemsghuhudia The secretary akilia kwa uchungu kuhusu...
Najua hata wewe au mwenzio anaweza kuwa na kitu/vitu vya ajabu/kipekee....
mfano mimi, mpaka najishangaa kwa hili..!!
NAWEZA KAA MAHALI (mfano nyumba yakupanga) NA MTU KWA MUDA WA HATA MWEZI...
Msela mmoja alikuwa jela kwa muda mrefu sana, cku moja akaamua kumfata mwenzake mmoja mle mle ndani ya selo, na maongezi yao yakawa kama ifuatavyo;
Msela: Nikwambie?
Mwenzake: Nambie Nigga...
wakuu kuna NGO inaitwa RALEIGH INTERNATIONAL TANZANIA,kuna yeyote ameshawahi kuisikia ama anaifahamu vizuri?naomba kufahamishwa kidogo kuhusiana na hawa watu na wanashughulika na nini hasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.