Hellow wana-chitchat,kama una rafiki humu, adui, mpenzi, mume, mke, ndugu, ex, mzazi...dedicate wimbo kwake.
Me naanza na wana chitchat wote, nadedicate inde moni ya bongo man!
Stupid Answers for Stupid
Questions: 1. Someone calls you at 2
am in the night and
ask you "are you sleeping?"
Ans: no, Im picking beans. 2. You're making out with a
girl then you start pulling...
Kama ndio "wake zetu" wa humu Chit Chat wangekuwa kama huyu dada, kila siku tungekuwa tunashinda hospitali kuuguza majeraha na zaidi mochwari kungezidiwa........
Natamani hawa ma-almaarufu wa jf mmu wa-date ,Moneystuna aje na ma-iphone 5 yake,i-pad na i-pod..unyunyu wa kilo 2, na designer suit yake ya singo batan, huku Lara 1 akizishusha lite beer zake...
Jamani majangaaaa, yamenikuta mie binti Kizuka
Shoga kaniletea janga mchana kweupe peee
-Eti ku Do ni Do mie, mimba apate yeye
-Mnazi nipande mie, nazi aangue yeye
-Urojo nipike mie, kufaidi...
hatimaye Dar inarudi katika asili yake, Obama akirud ghafla atahis amepelekwa sehem nyingine, hatoamini huo uchafu, folen, wamachinga, harufu, umeme umekatika, maji hamna, mgomo wa waalim na...
Leo majira ya saa nne asbh {4}
Barabara za magogoni kupitia ocean
road,ally hasan mwinyi,driven in
mpk ambasador of united states of
duniani na kawawa mpk Tandale
kupitia shekilango road na...
Bw:Barack Bin Hussein OBama pamoja na mama watoto wako,njooni Lindi nimeandaa ming'oko na Chikandanga,mje nyumbani ukitoka kukagua mitambo ya mjukuu wa Rishmond
"VV"
Baadhi ya wa mama wamepata vitenge,machinga wamevunjiwa vibanda vyao,baadhi ya maofisa wamepata chochote katika tenda mBalimbali.
Mimi niliacha kwenda mjini,ni metii amri ya waziri membe.
"VV"
Hello guys, this is an introductory note from Mrs Bishanga. I love you all is all i can say for now. Collaboratively will make CCs a better place for everyone. Just take me as I am.
Thanks.
Paloma amepata msiba wa mama yake mkubwa.. Amefariki ghafla leo alfajir kwa high BPi.. Mazishi ni kesho Lushoto..
Mungu ailaze roho ya marehem peponi..
Pole sana Paloma..
Rudi nyumbani mama watoto, wewe ni mke wangu. Toka uondoke nyumba naiona kubwa. Wewe ni pumzi zangu, wewe ni sehemu ya maisha yangu. Nini na kipi kilichokubadili ghafla?
Kuchelewa kurudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.