Inashangaza kwa kweli kwa nchi kubwa kama Tanzania inayo sifika kwa amani utulivu na upendo na vitu vingine vingi ila kwenye usafitu ndo tumefeli,eti jiji kuu kama dar halifanyiwi usafi wa uhakika...
Mfano umetoka kuoga kwenye vyoo vyetu vya uswahilini ambavyo viko mbali na chumba akatokea mtoto au chizi akakupora taulo ilihali ndani huna kitu kabisaaaaa.......je utafanyaje?
Hint: Utakimbia...
Tabia za Watanga
Leo nachukua Tanga, kama fumbo jamiini,
Kuwaeleza Watanga, TABIA zao nchinini,
Tanga watu wa kuringa, hasa kwa kujua dini,
Ukitaka uishi nao, jifunye wewe mjinga.
Tanga...
Hallo wanaJF!
Wapi alipo kyanaKyoMuhaya plz mwambieni nimemmiss sana! nakumbuka kwa namna moja ama nyingine alipatwa na mkono wa Mungu and God do no mistake, He take He give when He see a need to...
1.kung"olewa jino kwa uzi
2.ubwabwa kupikwa j.pili tu
3.kidonda kuwekwa unga wa dawa wa rangi mbili
4.ukumbi wa sherehe kupambwa kwa toilet paper
5.kunyolewa kwa mkasi
6.kufunga pesa kwenye...
Jamani mm natamani sana nioe mchaga ila yale meno yaliyoathiriwa na yenye rangi, siyapendi hata kidogo hivyo nauliza kuna dawa ya kuondoa rangi hiyo ya meno! na rangi ile ya kahawia inasababishwa...
Leo ndo mara ya kwanza kupost ndani ya jf lkn muda mfupi tu baada ya kupost kifurushi kikaniishia,hivyo ikanibidi nikate internet na kwenda kununua vocha sasa nimerudi kwenye post yng nimekuta...
Kutokana na malalamiko mengi leo pale kanisani, nimelazimika kutoa ushahidi wa talaka 3 nilizompa mtajwa hapo juu.
Ndoa yangu na Lady doctor ni Jumamosi ijayo imeahirishwa kama uchaguzi wa...
Watu wazima tuwe na mipaka ya kula vitu visivyo lazima:-
Baba baada ya kumaliza kuchinja Mbuzi akaenda kuchoma pumbu za mbuzi jikoni.Mara Mbwa akachukua pumbu.
Watoto kwa sauti kubwa: Baba, Mbwa...
Habari wana cc,
Naomba tuanze weekend kwa kukumbuka zamani kidogo
1. Hallo Helena Lile Beberu Bora Chinja Na Ondoa Figo Nene, Nani Mgogo Aliyesimama Pale Serengeti Club Arudi Kwao Canada
2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.