Ushahidi wa Talaka za Mamndenyi huu hapa. AUONE LADY DOCTOR

Ushahidi wa Talaka za Mamndenyi huu hapa. AUONE LADY DOCTOR

Arushaone

Platinum Member
Joined
Mar 31, 2012
Posts
15,237
Reaction score
13,567
Kutokana na malalamiko mengi leo pale kanisani, nimelazimika kutoa ushahidi wa talaka 3 nilizompa mtajwa hapo juu.

Ndoa yangu na Lady doctor ni Jumamosi ijayo imeahirishwa kama uchaguzi wa madiwani wa Arusha.

Talaka
[h=3]TALAKA 3 kwa Mamndenyi.[/h] mimisa, Kaizer, Mamndenyi et al angalieni na mjue ilikuwa tarehe ngapi mwezi gani na mwaka gani.

NITARUDI KWA USHAHIDI WA MADAME B.
 
Last edited by a moderator:

Yaani uwape woote mpenzi, ili wapunguze kelele tena tatu haziwatoshi, waandikie hata 50 50
 
Last edited by a moderator:
Mkuu karatasi zikikuishia nishtue nikutumie...ila usubiri mpaka Obama aondoke.....
 
Mamdenyi

Njoo huku nikupe tulizo la roho. Asante mungu dua yangu imekubaliwa.

Come close mama.
 
Last edited by a moderator:
Hata huyo mpa hajiongez kwan nae n lazma aje apgwe chn tu kama huyo
 
Back
Top Bottom