Mamndenyi hii si talaka ni barua ya kwenda kwa mwenyekiti wa kijiji. haina vigezo vya kuwa talaka.
alaf talaka inatolewa kwa mtu ambaye yuko kwenye uhusiano, hivi ni lini uli rudiana na Arusha one mpaka akupe hiyo anayo ita talaka? labda hii ni barua ya utambulisho wa talaka na wala si talaka.
shemeji gani unaroho mbaya hivi, badala ya kunitetea mimi shemeji yako we unatetea watu baki
pacha wangu Passion Lady hebu njoo umkanye mumeo ananikera ati?
honey kulikoni kumfanya hivi pacha wangu
hiyo mbona ni talaka tena haina rejea? Ruttashobolwa
usinichefue waaalah naapa ohooooo!!
niko busy na Obama anataka nimtafutie housegirl mmoja akate nae hamu za Afrika mashariki
kaka umebahatika japo kushikana mkono na mkulu mmiliki wa buzwagi ?
tena mwambie damu itamwagika humu, ngoja nimuite shem Mentor, Mwita Maranya na kaka zetu kabanga na figganigga wamkanye Ruttashobolwa haiwezekani shemeji yangu kabisaa anisaliti mimi, inaniuma sana pacha sijajua lengo lake ni nini la kunifanyia roho mbaya kiasi hicho!!!!!!!
bado anakuchokoza au kaacha. bijibu kabla sijamfanyizia. mia
Alivyomaliza bizness zake na dingi ya Mwanaasha alinibip nikampigia akanambia leo akimaliza mambo pale ubungo walipodeki barabara atawatuma skreti sevis na helkopta huku kwangu Lumo ili niende tukaongee nae kwenye manowari kule baharini.. afu anasema walivyoshuka tu eapot Sasha akasema anataka kuja kunisalimia babaake mkubwa ila wanausalama wakashauri iwe kesho... na mie barabara ya kuja home tumedeki nimenunua na tivii mpya ili Sasha akija ainjoi.... karibu sana.
amini amini nasema mganga wa Lady doctor ni kiboko!
kumbe wamedeki na barabara ya ubungo? sipati picha nahisi ile barabara yenye jina la mkulu si mtakuwa mmeideki kwa ulimi ?sipati picha aisee