hahaha nipo best angu! Kupendana mpendane nyie, maloveeee muonyeshane nyie, roho ziwapae wao, mbona majanga???
hata mimi nawashangaa......... Full majanga na viroho vyao vya kwanini!
Kutokana na malalamiko mengi leo pale kanisani, nimelazimika kutoa ushahidi wa talaka 3 nilizompa mtajwa hapo juu.
Ndoa yangu na Lady doctor ni Jumamosi ijayo imeahirishwa kama uchaguzi wa madiwani wa Arusha.
Talaka
TALAKA 3 kwa Mamndenyi.
mimisa, Kaizer, Mamndenyi et al angalieni na mjue ilikuwa tarehe ngapi mwezi gani na mwaka gani.
NITARUDI KWA USHAHIDI WA MADAME B.
niko busy na Obama anataka nimtafutie housegirl mmoja akate nae hamu za Afrika masharikiHa ha ha haaaaaaaaaa, hujambo rafiki?
hahahaha inaonekana nae ni mguu ndani mguu njeAnapasha
hahahaha inaonekana nae ni mguu ndani mguu nje
abeee!! unaniita ?wewe!!!!!!
kaka umebahatika japo kushikana mkono na mkulu mmiliki wa buzwagi ?Nimekumiss....!!
@mamndenyi hii si talaka ni barua ya kwenda kwa mwenyekiti wa kijiji. haina vigezo vya kuwa talaka.Arushaone natamani nikupe za usoni
sijui watanifungia
ngoja niangalie huku na huku
nikushukie kama mvua za masika.