Ushahidi wa Talaka za Mamndenyi huu hapa. AUONE LADY DOCTOR

Ushahidi wa Talaka za Mamndenyi huu hapa. AUONE LADY DOCTOR

Nakupa siri ukisema mi simo. Hivi unajua mumeo huyu wa ndoa tata anaandaa talaka hata kabla ya harusi. Shost nimekuuma tu sikio.

Mungu wangu!! nitamtoa busha ujue.........! Yaani asithubutu Mamndenyi, hebu niume tena sikio!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mamdenyi.
Hizo ni changamoto za maisha.

"Si kwamba hakuna maisha bila ya Arusha one, ila hakuna maisha bila pumzi".

Futa machozi.
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1372611531698.jpg
    uploadfromtaptalk1372611531698.jpg
    2.7 KB · Views: 52
Last edited by a moderator:
Njoo nikukumbatie Mamdenyi.
Mlango mmoja ukifungwa, mingine mia inafungukwa.

Njoo Mamdenyi.
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1372612657773.jpg
    uploadfromtaptalk1372612657773.jpg
    2.9 KB · Views: 51
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom