hujaumia kweli?njoo nikupe mistari ya biblia utulize mawazoTalaka za Mamndenyi ni kiboko. Daaah hapa nitakaa eda tena daaah kathethe.
hujaumia kweli?njoo nikupe mistari ya biblia utulize mawazo
Kutokana na malalamiko mengi leo pale kanisani, nimelazimika kutoa ushahidi wa talaka 3 nilizompa mtajwa hapo juu.
Ndoa yangu na Lady doctor ni Jumamosi ijayo imeahirishwa kama uchaguzi wa madiwani wa Arusha.
Talaka
[h=3]TALAKA 3 kwa Mamndenyi.[/h] mimisa, Kaizer, Mamndenyi et al angalieni na mjue ilikuwa tarehe ngapi mwezi gani na mwaka gani.
NITARUDI KWA USHAHIDI WA MADAME B.
harusi gani inaahirishwa bila sababu maalum........nimenusa harufu ya promise to marry kugeuka kuwa concubine.....pole muolewaji.
Arushaone waonee huruma watoto wa wenzio, kama kweli wewe ni muoaji wahisha hiyo ndoa mambo ya sherehe baadae. Mr Rocky ulikua wapi? Tazama hapa Lady doctor anavyochezeshwa mdako bila kujijua.
Movie limefika patamu sasa .....mh..! ........... Mamndenyi anaweka pingamizi kali kanisani Lady doctor ahamaki eti HA !!! Anakunja ndita kwa hasira kubwa huku akimfuata mamndenyi.itaendelea......Watch out part 2
Sijaumia najua ni makaratasi tu hayo maisha yanasongaag andaa tu misitari.
kwangu mantakhof Arabela, Mzee wa Rula kuna mamboanayanyoosha utamwona muda sio mrefu my dear
Kutokana na malalamiko mengi leo pale kanisani, nimelazimika kutoa ushahidi wa talaka 3 nilizompa mtajwa hapo juu.
Ndoa yangu na Lady doctor ni Jumamosi ijayo imeahirishwa kama uchaguzi wa madiwani wa Arusha.
Talaka
TALAKA 3 kwa Mamndenyi.
mimisa, Kaizer, Mamndenyi et al angalieni na mjue ilikuwa tarehe ngapi mwezi gani na mwaka gani.
NITARUDI KWA USHAHIDI WA MADAME B.
Ngoja nitulie kwanza nivute pumzi.
Aiseeee!
amini amini nasema mganga wa Lady doctor ni kiboko!