Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,244
Mamndenyi, usijali mkono wa sweta ulishakatwa na Mwita Maranya ngariba atumiae msumeno butu chini ya usimamizi mkali wa polisi jamii mwaJ na mwanawe Zion Daughter. Bujibuji niko mwaaaaa kama kipara cha babu, njoo tule raha bara mpaka pwani. Achana na Arushaone anayeteswa na hangover za penzi la Madame B
Hata usithubutu @ mamndenyi.Huyu ni pastor feki.Ila mie nakushauri uombewe spiritual husband anakusumbua
Last edited by a moderator: